Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

Asumisye Pakibanja, Iyunga Tech Mbeya 1992.
Mboka Mwanitu Kagubila.
 
NGURUGUDUNGU MAKOFI - mtuhumiwa wa mauaji Uyui prison Tabora, 2007
 


Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, Kingunge Ngombale Mwiru je, mimi nilisoma na Masero Masiku Uyui Secondary School Tabora. tusimsahau Joji Maratu wa Aiiiiiiiiiiiiiii Tiiiiiiiiiiiii Viiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!! bwa hahahahahahahaa.
 
sina mbavu jamani, nimekumbuka akina Kazakuku Firafisi, Jacquiline Natombeka, Rozia Kamkundu nk hao wote ni watu wenye nyazfa kubwa duniani lol!
 


Nadhani hapa kwetu sheria hiyo haipo, ama sivyo lile jina la MBORO lisingekuwepo
 
Mkatakona Peleka.. alisoma na bro wangu kibaha boys 2001...
 
Mkatakona Peleka; alisoma na bro wangu kibaha boys o'level 2001...
 
Mahaba kitumbua.bolingo mnyamisi,makrosi isomakwaru samangwangwa. Sendisha semboshi,akili mtindi,mwalimu barua,kinanasi kidagaa,salehe nyoro,kaundime haji hao zingibar se tanga 2005.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…