Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madata lubigisa.msukuma boli sikumbuki timu
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992.
2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka 1998.
3. Ndugu ABDALLAH NYUNDO KICHECHE-Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya sekondari Minaki mwaka 2002.
4. Ndugu MASANINGA SUMAKU POMBOJOLOWE a.k.a PUMBU-Dereva wa mabasi ya Hood.
5. Koplo RUBYENEKO MUGANYIZI BYOMBARIRWA-Mpishi mkuu wa kikosi cha 34 cha Jeshi (34 KJ), Mbeya.
6. Ndugu TAKOTAKO WA PUMBUJE a.k.a AKANANA-Muuza miwa na maji baridi maarufu pale magomeni makutano ya barabara za Rashid Kawawa na Morogoro.
7. Mheshimiwa NJENGAFIBILI MWAIKUNGILE-Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
8. Mheshimiwa JOHN POMBE MAGUFULI-Waziri wa Ujenzi Tanzania.
9.Ndugu TUNTUFYE MWAIKIMBA a.k.a KIMBA-Fundi majiko maarufu Railway Gerezani Dar es Salaam.
10. Ndugu BENADETTA TYETYETYE-Mhitimu wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, mwaka 2001 fani ya sayansi ya jamii (BA)
Nchi zote zilizoendelea zina idara maalum ya kudhibiti majina ya watoto.
Pale unapoenda kuregister mtoto kama jina limeonekana na 'maana' mbaya au kutopendeza kwenye jamii hukataliwa.
Ni rahisi kufanya regulation hii kwenye nchi ya watu wa Kabila moja ambao wote wanazungumza lugha moja tu.
Kwa Tanzania Zanzibar labda wangeweza kufanya hivyo lakini kwa sahemu nyengine isingewezekana
, wakati wa kutaja majina yao sijui wanajisikiaje!!sina mbavu jamani, nimekumbuka akina Kazakuku Firafisi, Jacquiline Natombeka, Rozia Kamkundu nk hao wote ni watu wenye nyazfa kubwa duniani lol!
<br />Golikipa - Pamba FC, Mwanza