Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Uliajiriwa hapo kwa kutumia kigezo cha elimu ya sociology?
 
. Social work
. Social Welfare
. Sociology

. Ebu zichambue hizi, nipate kuelewa kitu 🙂🙂🙂
 
Uliajiriwa hapo kwa kutumia kigezo cha elimu ya sociology?
Ndio, miongoni Mwa watu 40 kati ya watu elfu 11 waliopo JKT na mm nilikuwepo tena GPA ya 3.0 😁😁.
Mtu umesoma mpaka criminal Sociology unashindwa kujiongeza kabisa kujua utamu wa Sociology Jamani.
Usalama wa taifa wakijua ww ni mtu wa socialization hawawezi kukuacha, lkn jiulize ww wqnakuonaje? Uko wapi? Wanakupataje? Unamtu?
Mi binafsi niliafua kuingia jkt 2022 na TAA wakaniona, sikuwahi kuhisi kama ntakuja kufanya kazi airport kwanza nilikuwa sijui hata kazi zinaendeshwaje kule.

Kuwepo JKT kulifanya jina langu likaonekana, miongoni mwa vijana 40 wa kujitolea na mm nilikuwepo.

Alafu wote tuliochukuliwa tulikuwa tumesomea course za art Political science, Sociology, Community development and other related courses.
 
Good for you.
Wengine uliomaliza nao hali zao zikoje??
 
Huyu ni mkunwa cO
Mleta mada anaongelea wahudumu wa afya wenye vyeti vya mwaka mmoja mara nyingi wanaajiri kama medical attendant kakosea tu ku name
Ajira zao zipo nyingi nadhani yeye kaongelea kuchosha kwa kzi nilivomuelewa
Ukiwaita medical attendants sawa au medical assistant/clinical assistant ni sawa bado hujakosea mkuu
 
Bachelor of medical and clinical assistants???
Ndio medical doctor??
Tanzania kuna technician in clinical medicine( Cheti), ordinary diploma( clinical officer ) alafu kuna medical officer( Medical doctor au MD/ MO)…..Hiii ndio bachelor.
 
Good for you.
Wengine uliomaliza nao hali zao zikoje??
Kwenye crew yng tulikuwa watu 7.
2022 fursa za kujiunga JKT zilipotoka watatu tuliomba. Mmoja alipata nafasi migration mwaka huu, Wawili tulichukuliwa TAA moja kwa moja tangu mwaka jana mwezi wa 11.

Waliobaaki wote Wana GPA kubwa hawataki kujila, Ma HR kutokaa taasisi tofauti watawafwata nyumbani
 
Bongo mfumo wa ajira ni mbovu kwaiyo hakuna shahada yenye afadhari waasibu, madokta, mainjinia ambao ni majobless wapo kibao mtaani. Bongo kama hauna connection basi uwe competence sana kwenye field yako yaani wewe tangu upo olevel ulikua unapiga A tu darasani tena kwa akili yako sio kwa chabo vinginevyo shahada yoyote utakayosomea utajuta tu uko mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…