Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

Nimegraduate SAUT mwaka 2022 nilikuwa nachukua B.A IN SOCIOLOGY, 2023 nikapata kazi TAA kitengo cha usalama as Asst. Security officer.. nipo songwe airport hapa nakula maisha.

Ajira zipo sema ni vile vijana wenye GPA kubwa hamjui kuchangamkia fulsa[emoji2]
Uliajiriwa hapo kwa kutumia kigezo cha elimu ya sociology?
 
Nimegraduate SAUT mwaka 2022 nilikuwa nachukua B.A IN SOCIOLOGY, 2023 nikapata kazi TAA kitengo cha usalama as Asst. Security officer.. nipo songwe airport hapa nakula maisha.

Ajira zipo sema ni vile vijana wenye GPA kubwa hamjui kuchangamkia fulsa😃
. Social work
. Social Welfare
. Sociology

. Ebu zichambue hizi, nipate kuelewa kitu 🙂🙂🙂
 
Uliajiriwa hapo kwa kutumia kigezo cha elimu ya sociology?
Ndio, miongoni Mwa watu 40 kati ya watu elfu 11 waliopo JKT na mm nilikuwepo tena GPA ya 3.0 😁😁.
Mtu umesoma mpaka criminal Sociology unashindwa kujiongeza kabisa kujua utamu wa Sociology Jamani.
Usalama wa taifa wakijua ww ni mtu wa socialization hawawezi kukuacha, lkn jiulize ww wqnakuonaje? Uko wapi? Wanakupataje? Unamtu?
Mi binafsi niliafua kuingia jkt 2022 na TAA wakaniona, sikuwahi kuhisi kama ntakuja kufanya kazi airport kwanza nilikuwa sijui hata kazi zinaendeshwaje kule.

Kuwepo JKT kulifanya jina langu likaonekana, miongoni mwa vijana 40 wa kujitolea na mm nilikuwepo.

Alafu wote tuliochukuliwa tulikuwa tumesomea course za art Political science, Sociology, Community development and other related courses.
 
Nimegraduate SAUT mwaka 2022 nilikuwa nachukua B.A IN SOCIOLOGY, 2023 nikapata kazi TAA kitengo cha usalama as Asst. Security officer.. nipo songwe airport hapa nakula maisha.

Ajira zipo sema ni vile vijana wenye GPA kubwa hamjui kuchangamkia fulsa😃
Good for you.
Wengine uliomaliza nao hali zao zikoje??
 
Huyu ni mkunwa cO
Mleta mada anaongelea wahudumu wa afya wenye vyeti vya mwaka mmoja mara nyingi wanaajiri kama medical attendant kakosea tu ku name
Ajira zao zipo nyingi nadhani yeye kaongelea kuchosha kwa kzi nilivomuelewa
Ukiwaita medical attendants sawa au medical assistant/clinical assistant ni sawa bado hujakosea mkuu
 
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
Bachelor of medical and clinical assistants???
Ndio medical doctor??
Tanzania kuna technician in clinical medicine( Cheti), ordinary diploma( clinical officer ) alafu kuna medical officer( Medical doctor au MD/ MO)…..Hiii ndio bachelor.
 
Good for you.
Wengine uliomaliza nao hali zao zikoje??
Kwenye crew yng tulikuwa watu 7.
2022 fursa za kujiunga JKT zilipotoka watatu tuliomba. Mmoja alipata nafasi migration mwaka huu, Wawili tulichukuliwa TAA moja kwa moja tangu mwaka jana mwezi wa 11.

Waliobaaki wote Wana GPA kubwa hawataki kujila, Ma HR kutokaa taasisi tofauti watawafwata nyumbani
 
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.

10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)

9. Biology Degree (BSc not BED)

8. Political Science

7. Medical and clinical assistants

6. Marketing

5. Bachelors of Education

4. Communications Degree

3. Liberal Arts

2. Sociology

1. Journalism

Kuna una mpango wa kusoma Degree yoyote kati ya hizi uliza swali kweny comments na kama umeisoma please tusaidie kujibu.
Bongo mfumo wa ajira ni mbovu kwaiyo hakuna shahada yenye afadhari waasibu, madokta, mainjinia ambao ni majobless wapo kibao mtaani. Bongo kama hauna connection basi uwe competence sana kwenye field yako yaani wewe tangu upo olevel ulikua unapiga A tu darasani tena kwa akili yako sio kwa chabo vinginevyo shahada yoyote utakayosomea utajuta tu uko mbeleni.
 
Back
Top Bottom