Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Uko sawa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Jay anaishi kwenye misingi ya Hiphop na anachana lakini sio rapper boraGOAT
Father Nelly
Sugu
Prof jay
Wanachana wanaimba ila sio rappers boraGOAT
Father Nelly
Sugu
Prof jay
46 mkuuMkuu una umri gani
Juma Nature? Seriously? Huyo mnamuita rapper? Afande sele a.k.a selemani msindi anaimba lakini sio rapper mwandishi IQ ya kutisha, Sugu ni hiphop lifestyle zaidi,Joseph Haule anaimba Hiphop Lifestyle + promo sio pure rapper, angalau One incredible,na Young killerSugu
Joseph Haule
Selemani Msindi Afande
Solo
Yule jamaa wa watengwa
Juma Nature
NickMbishi
One the incredible
Dizasta, Songa, Young Killer + ++
Unafkiri kama tukiweka votes list yangu na yako ipi itashinda?Juma Nature? Seriously? Huyo mnamuita rapper? Afande sele a.k.a selemani msindi anaimba lakini sio rapper mwandishi IQ ya kutisha, Sugu ni hiphop lifestyle zaidi,Joseph Haule anaimba Hiphop Lifestyle + promo sio pure rapper, angalau One incredible,na Young killer
Ukiwasikiliza wasanii kama Nas, Lil wayne,Eminem,Kendrick Lamar n.k Kisha ukawasikiliza kina 50 cent, Mob deep na Fat Joe utaelewaKwanza utujuze rapper ni nani, ili iwe rahisi kujadili.
Sikiliza fid.com unaweza badili hiyo list.
Issue sio kushinda, issue ni uhalisiaUnafkiri kama tukiweka votes list yangu na yako ipi itashinda?
Hip hop is not Rap?Unaelewa maana ya Rappers? Sugu ni myu aliyeishi kwenye misingi ya Hiphop lakini kiuandishi na rap hajafikia ubora wa dizasta vina, huyo Jay mo na Nay wa mitego wana content za kawaida sana kwenye uandishi wao wala sio rappers tishio
Uko serious kabisa unamtaja DIZASTA na SONGA Kuwa GOAT wa RAP hapa Tanzania?,Mkuu uko timamu kweli?Toa sababu
Ndo nimekupa pint ya uhalisia Sasa.Issue sio kushinda, issue ni uhalisia
Hiphop is wide, rap is part of itHip hop is not Rap?
Unadhani nani anaweza kuwa best Rapper mwenye uandishi wa high IQ na flow kumzidi Dizasta?Uko serious kabisa unamtaja DIZASTA na SONGA Kuwa GOAT wa RAP hapa Tanzania?,Mkuu uko timamu kweli?
Yaani Mapenzi yako Kwa hao jamaa ndiyo yafanye wawe ma GOAT ?
Disasta mkali ila Hana catalogue ya kutosha kufanya awe GOATUnadhani nani anaweza kuwa best Rapper mwenye uandishi wa high IQ na flow kumzidi Dizasta?
Ninakupinga hapo kwenye namba 2 na 3 kwa sababu zifuatazoFid Q anakidhi vigezo, kaifanyia jamii ya Wana Hip Hop na wasikilizaji wa Kiswahili mengi mno kuyasimulia.
Wa pili ni Professor Jay.
Huyo ndiye rapper aliyeshape njia ya mainstream rap kwa mapana zaidi.
Albums zake kama Machozi, Jasho na damu na J.O.S.E.P.H zilikuwa na michano, content iliyoshiba na burudani ya kutosha.
Prof. Jeezy ndiye rapper ambaye nyimbo zake kama vile Bongo Dar es salaam, Ndiyo Mzee, Zali la mentali n.k zinafanyiwa reference kila mara kwenye media na vijiwe vyetu huku mtaani.. mpaka leo.
Pia ana excellent verses kwenye collabo Kali zaidi za rap Bongo.
Ref: Mtazamo na ni hayo tu.
Pia, longevity yake ni ya kupigia mfano.
Wa tatu ni Niko mbishi.
Niki ana flow, Niki anaandika sana, Niki ana ufahamu wa mambo mengi sana. Ni ujeuri wake tu na kutotaka kulamba miguu ya wakina Ruge ndiyo ikamfanya kuwa King wa the underground na kutoweka kwenye mainstream media.
Uandishi wa Niki kwenye album ya Jogoo uliinfluence kizazi cha rappers wengi sana toka 2012+, wakiwemo hao wakina Dizasta ambao ndiyo wanatamba saa hizi.
Honorable mentions ni pamoja na Afande Sele, Jay Mo na Langa Kileo.