Kobe
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 1,794
- 812
NimekupendaBila shaka...
Anza na alama na herufi hii kabla ya neno unalotaka kubold [ b ] kisha malizia hivi [ /b ]
Mfano
Kama wewe ulivyouliza "Mkuu Nifah unaweza kunifundisha kubold neno/sentensi?"
Ukitaka kubold hiyo sentensi anza na [ b ] mwanzo kabisa mwa maneno unayotaka kuyabold...kisha malizia na. [ /b ] mwishoni mwa sentensi.
Kumbuka usiache nafasi kabla na baada ya hizo alama.
Namaanisha hizo herufi ndani ya mabano usiache nafasi baina ya mabano na herufi/alama.
Here we go...bold maneno sasa katika maelezo yangu haya.
Karibu.