Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

Dar hii hii amboyo 80% ni squatter ufananishe na Joburg ?
 
Dar hii hii amboyo 80% ni squatter ufananishe na Joburg ?
Kwani Squatter Joburg hakuna? Tunapishana magnitude tu. Halafu sijafananisha bali nimesema tungekuwa kwenye 5 Bora za Afrika.
 
Acha wenge wewe mbona husemi miundombinu ya barabara,reli na ndege ilivyoboreshwa enzi za magufuli? Hadi sasa mmeshindwa kumalizia hata barabara ya kimara mbezi kibaha na unasifia upuuzi. Umeenda Nairobi ukaona barabara zao? Magufuli alikua anawakimbiza kwa kasi sana kwenye miundombinu hadi walikua wanaogopa wakaanza figisu
 
Duuh kwamba Addis Ababa haipo yani sisi hatukutakiwa kuwa hata kwenye hiyo nafasi tena nahisi tumepitwa hadi na miji kama Kigali na Lusaka
We nae unajua maana ya utajiri? Kwa hiyo magorofa ya Addis ndo unadhani ni jiji tajiri
 
Kuna uzi flani wa kijinga wa kuilinganisha na Nairobi huwa nacheka sana.
Dar ni chini ya nusu ya ubora wa Nairobi
We nae Dar huijui vizuri... Nairobi inaizidi Dar ndio lakini sio kiasi unachosema wewe. Kasome
 
Miji ipi tena hiyo nakati unataka kila kitu kijengwe Dar pekee tangu kupatikana kwa uhuru TZ 1964, unadhani scattered geographical development hupatikana kwa kurundika kila kitu kwenye mji mmoja tu?

Tumia akili kufikiri wewe... [emoji1]
 
Tuwekee utafiti wako
Ivi umeelewa nilicho.andika ?

Unataka mm nikuletee utafiti upi ? Kwann ww usihoji valodity ya iyo tafiti ?
Kwann usihoji methodology applied ? Inakuwaje ww una pokea pokea ru takwimu ambazo ata huja soma full report na je unauhakika iyo ripoti je NBS wame valodate ?


Muda mwingine usiwe mwepesi wa kupolea tu matakwimu ya makanja nja hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…