Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

Unaijua Kenya na Nairobi kiujumla 🙄🙄🙄Kuna mengi nikiyaleta humu itabaki umeduwaa!!!
Takwimu kama hizi hutoa taswira ambayo haina uhalisia. Mji unaweza kuwa na mabilionea wengi sana lakini idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na wale ambao hawana hata sumni. Hivyo unachukua idadi ya pesa zilizopo Jiji Hilo, halafu unazigawa na idadi ya watu waishio humo na namba unayoipata unasema ndio pato la kila mwananchi aishiye Jiji husika. Ukweli ni kwamba pesa utakayoipata inaonesha pengo lililopo kati ya wale walionacho na wale ambao hawana kitu kabisa. Takwimu ni kama zile nguo za bikini. Inachoonyesha ni muhimu lakini inachoficha ni cha muhimu zaidi.
 

acha upimbi wewe ngamia,dar umekuja lini!!!

uliza tuliokuwepo kabla ya jamaa yako jakaya kukuleta na gari lake la majani ya ng'ombe dsm.
 
acha upimbi wewe ngamia,dar umekuja lini!!!

uliza tuliokuwepo kabla ya jamaa yako jakaya kukuleta na gari lake la majani ya ng'ombe dsm.
Niko Dar kuanza mwaka 1979. Na wewe mpumbavu ulikuja lini?
 
enzi za jiwe hizi takwimu ungekuta wale jamaa zetu wanaoshindwa kudhibiti tozo tayari ungekua server error ili msijue , jamaa alijikuta Korea Kaskazini flani hivi, noma sana
 
Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika.

Source-Africa Wealth Report 2022.

List kamili hii hapa 👇

View attachment 2365759
Sidhani kama data zinaukweli hizi au lah ni kosa letu hatuweki data nyingi sana hadharani..
Ila kama sijakomment naomba kujua wamechukua vigezo gani kupata total values ya utajiri kwa kila jiji..?
Kwa sababu kama ni rasilimali zilizopo tu dar ni zaidi ya hiyo figure hapo..tuna mwendo kasi, bandari, airport, appartment za kutosha, barabra za gharama kiasi na mengibe meeengiii..

Mimi nikikadiria value ya dar es salaam inafika 40usd billioni.
 
Kuna mambo mambo mawili na mojawapi litakuwa kweli;
1. Hujafika Nairobi au
2. Uliwahi kuugua kichaa
Labda kichaa cha babako... Nairobi unaona kufika maajabu wakati mwenzio kila mwezi nipo huko. Haya KQ jiridhishe kama KQ wanaenda kwenu Nanyumbu.. ukibisha tena nakuwekea boarding pass au hotel booking kabisa uone mi si mwenzio jombaa sehemu ambazo naenda Nairobi we hata kukanyaga unatimuliwa fasta. We hata fogo gaucho huijui unadhani unaijua Nairobi kuliko mimi

 

Mkuu ficha hizo number mkuu
 
Mkuu ficha hizo number mkuu

Nafikiri utajiri wa Nairobi vs Dar unatakiwa upimwe kwa mizania zote kala vile GDPvs PPP, Real Estate, Transportaton Infrastructures, Education Sub Sector, Public Service. Pia Business Hub, number of Billionaires etc. Takwimu hizo ziwe tabulated ili kujenga hoja ya ulinganifu. Otherwise zote zinabaki ni porojo devoid of any materials facts. Kuweka manamba hayo kisha uka conclude haina maana yoyote!
 
Only fools think that the data above was manipulated by Kenyans. Yaani uibe mtihani alafu badala ujiweke wa kwanza, ujiweke nafasi ya tano. Wakenya hata hawajilinganishi na Dar they are aiming Johannesburg Cairo and other big cities, while you are there thinking they have time to manipulate data and put themselves at position 5and Dar at position 11

Midwits
 

Ha ha ha! Eti J’burg porojo gani hizi.!
 
Kwa mujibu wa ripoti ya henley and partners consultancy africa 2023, jiji la dar es salaam halipo tena kwa mara nyingine kwenye majiji kumi kwa utajiri africa.
 
Kitu watu wasichojua ni kuwa kati 10 most worst slums in afrika 4 are in Nairobi,kwa afrika mashariki Nairobi ndo mji wenye street children and omba omba wengi kuliko mji wowote ule hadi hii leo 2023 Nairobi bado kuna nyumba nyingi tu za tope,hapo sijazungumzia usafi Kwa majiji yaliyotuzunguka Tz, Nairobi ndo jiji chafu kuliko yote,ukija kwenye hali za maisha zaid ya 80% ya wakazi wa Nairobi wanaish kwenye nyumba za kupanga kwa maisha yao yote yaan mtu anazaliwa hadi anakufa ni mpangaji,
Yes Nairobi wanazo barabara nying kuliko Dsm lakin barabara za Nairobi are very poor quality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…