Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
Eh nilikuwa nakula fimbo pale ukiambiwa toa mabano na upate jibu mfano 2(2-4×4÷2)2 haya sasaMagazijuto 😂😂😂😂
mbaka?National income ,, asee nilikuja kuielewa first year wakati wa sup,,,
kuna pimbi mmoja alikuwa anaitwa doctar jo ,,, yule jamaa kwenye EC 117 wakati anafundisha anafundisha simple kweli kweli ,,, ngoma U.E ,, aisee mbaka nikajiuliza kweli hivi vitu tulisoma darasani kweli ??,,,
Paper ni ya masaa 3 lakini mbaka wanasema tumebakiwa na nusu saa paper iishe ,,, kidume ukiacha maswali ya kuchagua na machache niliyojikanyaga kanyaga ,, mengine yote kama calculation na explanations hakuna nilichojibu,,,, japo kulikuwa na Ac venue tuliofanyia ,,, kidume nikaona jasho zinanitoka,, moyo nikajisema nimekwisha,,
Uzuri wakati wa sup ,,, nusu ya darasa tulirudi kupiga paper tena ,,, hapo nikajiona kumbe mimi siyo kilaza sanaa
Aiseee basi kazi ulikuwa nayoEh nilikuwa nakula fimbo pale ukiambiwa toa mabano na upate jibu mfano 2(2-4×4÷2)2 haya sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had baas, LolMwanaume kusoma combination inayoanzia na H ni jambo la kusikitisha sana
Mbabu kipara kabisaa.2004 Kumbe n babu. Mi ndo nazaliwa
Wazee wa Engineering Sciencetuliosoma shule za ufundi tujuane
Double integration ,Laplace transformation.Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.
Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.
Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.
Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.
Tupe story ya topic ngumu kwako
Hakuna topic niliyokuwa naipenda kama hii, ikifuatiwa na calculus, hyperbolic functions, matrices na probability. Ilikuwa nikikuta swali la differential equation kwenye paper nalifanya kwa njia mbili tofauti halafu nasepa. Thank you teachers wangu wa Maths popote mlipo.Pure Mathematics hapo Advanced level kuna topic moja inaitwa "Differential Equations"
Hio inaitwa mama mkanye mwanao.
Binafsi sijawahi kutamani aliyesomea H...kwenye neno 'sisi' mimi simoAkili mganda hizo, sisi tulisoma hizo nyingine tunawatamani waliosoma H ngapi ngapi huko.
what is ccmMaisha Yana story ndefu,