Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

Equilibrium ya Form One, Vector And Scalar Quanty ya form three.

Pia kuna hii Kitu inaitwa Rotation of Rigidy body ya Mechanics form Five, Electronics ya form Six upand wa O na NAND Gates kwenye Diodes, Heat in Gases form Six.

Aisee hizi topic zilinitesa sana na sikuwahi kuchomoka.
 
Aisee wee kweli bwege mtozei kuliko mie
 
Kipindi nasoma nakumbuka darasa la Saba, nilichelewa asubuhi na mwalimu alikua ana tafuta wasio kuja juma moc, dah tulikua kama 4 hivi, tuka shauriana twende tukajifiche chooni, mwalimu alipo maliza kukusanya wategaji, akaja nao huko huko chooni, waje kufanya usafi, vyoo vilikua vinne tukajificha Choo cha mwisho kabisa, tcher akaingia Kwanza yeye akaja mpaka Choo cha 2 akaona vyoo vinanuka akageuza,akatoka nje wakati ana toka akaja dogo WA chekechea akawa ana kojoa kila Choo ana hamia lingine, alipo fika cha nne akatukuta basi aliropoka mwalimu wengine hawa uku, dah.... Ukizingitia huyo alikua ni head master..
 
Daaah mwanangu
Umenifanya nicheke sana
 
Mpaka sasa simini topic ya evolution kwa sababu kihualisia hatujatokana na wadudu wala hewa wala nyani naamini from God.
Pia mada ya hesabu probability mimi sipendi uongo sasa proba sikuwahi ielewa wala nini.
Pia kwenye hesabu la credit na debit kwenye hesabu sikuwahi lipenda kwa hiyo sikusoma wala sikulijibu hilo swali hadi advance namaliza form 6.
 
Me tatizo lilianza form one kiswahili,yani kiswahili nachoongea kweny makaratasi asee sikuwahi toboa an,form one mpk four n F tuu..nacte nakuja bahatisha D ,nikajua sio matokeo yangu looh!
 
1)Earth as sphere form 3

2)Circle form 3

4)Probability form 3 &5

4)Electromagnetism form 3&5

5)Laplace transformation -Uni

6)Double integration -Uni.

7)Fourier series

8)Discrete Maths.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…