RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta, Verossa, Crown na Altezza/Lexus IS200 kwa miaka mingi. Watumiaji wengi wanasema ukiitunza vizuri unaweza kuitumia mpaka gari likafikisha 1,000,000km bila kuleta shida kubwa.
Tushirishikishe uzoefu wako kuhusu engine hii.
Tushirishikishe uzoefu wako kuhusu engine hii.