Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

Toyota 1G-FE 2.0L VVTi engine

RugambwaYT

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
1,397
Reaction score
1,899
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta, Verossa, Crown na Altezza/Lexus IS200 kwa miaka mingi. Watumiaji wengi wanasema ukiitunza vizuri unaweza kuitumia mpaka gari likafikisha 1,000,000km bila kuleta shida kubwa.

Tushirishikishe uzoefu wako kuhusu engine hii.
 
Hii ndio 1g kavu???
 
Indeed ni beast ukiwa nayo bodi itachoka ila mashine bado ipo ila haijafikia ugumu wa JZs

1JZ
3JZ
3S FE...
 
Bonge la engine, mi nkajuaga beams 2000 ni engine code nayo kumbe ni urembo tu, engine ni 1G-FE
Kweli. Hiyo BEAMS 2000 nafikiri ilikuwa ni marketing strategy ya Toyota tu. Japo jamaa wanasema hizo 1G zenye beams 2000 timing belt ikikatika gari ikiwa kwenye mwendo ni kimeo, sababu pistons zinakita kwenye valves. Inafaa kubadilisha timing belt mapema.
 
Majuzi timing belt ilinikayikia nikiwa kwenye mwendo (5S engine) nashukuru haikuleta damage yeyote. Nilibadilisha na safari ikaendelea. Wengi wetu tunazembeaga kuzibadili hizi
 
Kabisa. Wengi hatubadilishi, na vile mara nyingi tunatumia magari mijini hatupati shida. 5S haileti shida saana ikikata timing belt. Ingekuwa engine za BEAMS 2000 hapo ilikuwa balaa.
 
Nlishakuwa na hii kwenye gx 110 kumbe ingekuwa noma[emoji119]
 
Hapana, hii ni VVTi. Ambayo sio VVTi ndio watu wanaita 1G kavu.
Mimi ninayo cresta 1g FE( kavu) huu ni mwaka wa 10 ina 198000km haijawahi kufunguliwa engine, hata hiyo timing cover haijawahi funguliwa, cha ajabu hata plug sijawahi badilisha,hata AC sijawahi ongeza,kipupwe bado kama nipo Mufindi,hata belts zote kwenye pulleys sijawahi badilisha, mpaka hii engine naishangaa, ndio gari ninayoitegemea kwa safari zangu za ghafla kokote Tanzania, haijawahi kuniangusha, haijawahi kunilaza njiani, mimi ni kuamua tu nikalale wapi, nikitoka dar, ni kuamua tu nikalale wapi, kahama au nitoboe mpaka Bukoba, Hii injini ni ngumu sana, ila natumia ,oil ya castrol 5w-30 toka nimenunua gari Yokohama Japan mwaka 2008, pia natumia CAT coolant ya General Motors.

***ONYO**** usiweke maji ya bomba au ya kisima kwenye rejeta ya gari yako,
 
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta, Verossa, Crown na Altezza/Lexus IS200 kwa miaka mingi. Watumiaji wengi wanasema ukiitunza vizuri unaweza kuitumia mpaka gari likafikisha 1,000,000km bila kuleta shida kubwa.

Tushirishikishe uzoefu wako kuhusu engine hii.

HII INJIN HAIJAWAHI KUNIANGUSHA NDOMANA HII GX 110 SIIUZI AISEE
 
Hii ni moja kati ya engine bora kabisa kuwahi kutengenezwa na Toyota. Kumekuwa na engine nyingi katika series ya 1G, iliyofungwa kwenye magari mengi ya Toyota, hasa Chaser, Mark 2, Cresta, Verossa, Crown na Altezza/Lexus IS200 kwa miaka mingi. Watumiaji wengi wanasema ukiitunza vizuri unaweza kuitumia mpaka gari likafikisha 1,000,000km bila kuleta shida kubwa.

Tushirishikishe uzoefu wako kuhusu engine hii.

Ujinga wa hii injini ikikata Timing Belt lazima valve za outlet zipinde au kukatika na kuharibu valve seat za piston, yaani ikikatika you are likely to change cylinder head
 
Mimi ninayo cresta 1g FE( kavu) huu ni mwaka wa 10 ina 198000km haijawahi kufunguliwa engine, hata hiyo timing cover haijawahi funguliwa, cha ajabu hata plug sijawahi badilisha,hata AC sijawahi ongeza,kipupwe bado kama nipo Mufindi,hata belts zote kwenye pulleys sijawahi badilisha, mpaka hii engine naishangaa, ndio gari ninayoitegemea kwa safari zangu za ghafla kokote Tanzania, haijawahi kuniangusha, haijawahi kunilaza njiani, mimi ni kuamua tu nikalale wapi, nikitoka dar, ni kuamua tu nikalale wapi, kahama au nitoboe mpaka Bukoba, Hii injini ni ngumu sana, ila natumia ,oil ya castrol 5w-30 toka nimenunua gari Yokohama Japan mwaka 2008, pia natumia CAT coolant ya General Motors.

***ONYO**** usiweke maji ya bomba au ya kisima kwenye rejeta ya gari yako,
Miaka 10, daa! Safi saana. Hiyo kama huizi lazima ufikishe km nyingi saana. Ila uifanyie service aise. Nafikiri matumizi yako ya gari sio makubwa saana. Maana kwa wastani, gari kwa mwaka linatembea km 10,000. So nashauri ili kupata ufanisi na performance nzuri, ubadilishe angalau plugs. Ila utafute plugs genuine. Timing belt ukaigakue pia.
 
Ni kweli, kuhusu plugs kwa sasa nafikiria kubadilisha, ila nasita Kwa sababu sina uhakika wa kupata genuine plugs,je naweza kuzipata wapi? Pia hata timing belt genuine naweza kupata wapi hapa Dar?
 
Kama uko Dsm kuna maduka yanauza parts genuine za Toyota. Na plugs wanauza bei nzuri tu. Unawapa part number au chassis number ya gari wanakwambia ni plug gani zinafaa.
 
Back
Top Bottom