Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Uzuri wa gari zenye engine kubwa ndio huo, zinakuwa smooth hadi raha, na inatulia huwezi ona vibration za kijinga kijinga kama vyenye engine ndogo
Sahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Mwaka 2019 Tena rais wa Toyota aitwae Akio Toyoda alirudia tena kufanya zoezi hilo, alizipanga glass za shampeni nyingi juu ya bonet la Lexus LS 500,na akaendesha hio Gari mpk kwny speed 138MPH=220km/h na Gari ikiwa kwny dyno na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Video ziko huko YouTube.

Hui ndio utamu wa Engine kubwa,tujaribu kufanya Hilo zoezi kwny kwny ka-engine kadogo tujionee 😄😄
 
Engine ndogo kigari kinajitutumua lazima kiteteme sana tu 😅😅😅😅 gari nzuri anzia na V6 kama hela ipo V10 sio mbaya huitaji hata turbo maana haupo kwenye kushindana na mtu
 
Nimeangalia KRA import duty asee kodi zao hazina tofauti na zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…