msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Hii ngoma nimeona inakula cheti hapa Usa *****Ila crown hii hakuna tezza inayokamata hapa bongo (ukitoa walizoziweka jz engines)
Mzigo una jiko la 2gr na top speed ya 260kph
Ni adimu mkuu. Kwa Bongo huku sijaona yenye cluster ya 260kph zaidi ya hiyo. Ila kwenye video za Russia huwa naziona na zenyewe sio nyingi.Hizo crown zaidi ya speed 180 mnazipataje mbona sizioni kwenye site za kuuza magari?
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Chuma ya safari hio Mkuu. Cc3500 na gear 8 kuzitembelea mjini ni kutoitendea haki chuma hiyo.
Hujakosea kma umeiona usa river ipo Arusha mjini hii chuma
Ukiwa na hii chuma wajerumani wanaacha dharauChuma ya safari hio Mkuu. Cc3500 na gear 8 kuzitembelea mjini ni kutoitendea haki chuma hiyo.
Sema chuma ni kali nje na ndani halafu speed ya uhakika aisee wajeru watakuheshimu watake wasitakeHujakosea kma umeiona usa river ipo Arusha mjini hii chuma
Sio wote mkuu. European cars achana nazo kabisa. Kule hawana ubahili kama wa Mjapan kwenye teknolojia.
Nazungumzia hizi saizi zetu ambao ukiwagusa kidogo anaanza kukutambishia 260Sio wote mkuu. European cars achana nazo kabisa. Kule hawana ubahili kama wa Mjapan kwenye teknolojia.
Inategemea ila bado probability ya kuchapwa kwa Mjapan ni kubwa.Nazungumzia hizi saizi zetu ambao ukiwagusa kidogo anaanza kukutambishia 260
Sent from my CPH1823 using JamiiForums mobile app
Niuzie hiyo tako la nyan nmhonge Depal 😔Upo sahihi kabisa. Basi tu mm sina flavor na hizo saloon cars. Gari yangu ya kwanza ilikua Grand Mark 2 gx100. Sikuwahi kuenjoy saaana! Always mishe zangu ni vijijini, kila wakati nilikua naonekana kama naendesha taxi tu!
Nikauza nikanunua Nissan Wingroad, pale naweza sema nilikula nayo maisha, na ilinifanya nipende hizi station wagon na SUV cars. Ingawa wingroad nilipata nayo majanga nikauza (kuna thread yake humu niliielezea)
Kwa sasa nipo na hii Harrier tako la nyani and I can't complain [emoji120]
Aggressiveness kwenye kuendesha mkuu. Ila wote mkicheza sawa na rpm crown itabugia kuliko altezza.Kwanini altezza ya cc 1990 inakula wese zaidi ya crown ya 250 cc?
Umefurahii mwenyewe, haya nenda sasa ukamsalimie getoni mwake 🤣🤣🤣🤣🤣😄😄😄 weee
Nakuombea upate maokoto mengi
😀😀 hamna bana..Umefurahii mwenyewe, haya nenda sasa ukamsalimie getoni mwake 🤣🤣🤣🤣🤣
Inategemea ila bado probability ya kuchapwa kwa Mjapan ni kubwa.
Si unaona hiyo crown yenye 260kph ni adimu ila kwa European cars sio ajabu. Ina maana hizi European cars zilikuwa designed toka kiwandani kufanya hivyo. Ila toyota kukupa vituz mara nyingi ni mpaka ifanyiwe modifications maana wajapan wana sheria yao inaitwa "Gentleman's agreement" ambayo iliwabana baadhi ya vitu eg; speed, horsepower kwenye soko lao la ndani (japanese domestic market). Ndo maana unaona gari za japan huwa zinaishia 180 ilhali gari hiyo hiyo wakiitengeneza kwa ajili ya soko la ulaya inaenda zaidi ya 180 eg. Tako la nyani 300g na lexus rx300.
Yah ni homu boi wangu kutoka singaporeHii chuma ya jamaa anaitwa mo bright future
Anapenda san crown jamaa,yupo instagram
Huyu ndio muanzilishi wa lile group la team crown tanzania..ambalo nilikuambiaga kipindi fulani kwamba ntakuadd humoHii chuma ya jamaa anaitwa mo bright future
Anapenda san crown jamaa,yupo instagram