Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Ebu tupe darasa kidogo tufanye comparison Kati ya Toyota crown 👑 na gari ya kijerumani sedan yenye CC 2400...
Ndiyo maana nimesema huwa hazipishani Sana na European cars
Gari ya mzungu yenye 2.5 L, kaa nayo mbali kama una sedan za kawaida za kijapan.. na kama utakuta ina 2.5 L twin turbo usisogee kabisaaa.. Kama una mjep wako
 
Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
 
Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Watu hawajui hili na watakai kabisa kupata maarifa kuhusu hili basi mimi naamua tu kunyamaza kila mtu abaki na lake
 
Toyota mark x at 300kph
Ndugu yake crown amekuwa, mark x ya jdm amekuwa tunes
Waga nawacheka sana wadau kwenye race zote crown vs mark x , MARKX kamkalisha CROWN lakin wabongo hawaelewi yaani daaah ni ubishi kwenye race za barabara za watu wanaojielewa yaani km 10 barabara imenyooka uko dunia CROWN kwenye race zote kakalishwa lakini mbongo ukimwambia anataka kukutoa macho duuh hatari sana
 
Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
CROWN anaongoza kwa kupata ajalai za kupinduka hii ni kwa duniani kote CROWN vs MARK X kwenye ajali za kupinduka CROWN anaongoza tena kwa ratio kubwa mno lakin mbongo ukimwambia anataka kukutoboa utumbo daaah sasa mwisho inakuwa hamna maana ya kubishana ama kuelezana kila mtu abaki na analolijua!!
 
Boss mo nimeishia pale juu mkuu inatosha tusije chomana visu bure ndugu yangu na wakati magari yenyewe wametengeneza watu wenhine kisha tuje kuuana sisi basi inatosha wewe baki na ufahamu wako na mimi nibaki na wa kwangu broo tuendelee tu kupambana kujenga nchi yetu angalau na sisi ifikie wakati tuanze kuunda vasper ama gari za kobe!!
 
Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Labda brake kama mbovu, yani 90kmh izingue ikupeleke 80% ya ajari? Hamna kitu kama hiyo mzee. Hiyo crown napiga bampa to bampa hadi 150 na 140 town humu humu, mwendo wa kununyiza kitu ina stop fresh kabisa..
 
Huu uongo Sasa E-class hazikutengenezwa kwa Sababu ya kilio Cha waafrika,kwa purchasing power gani mliyonayo mpk Benz waumize kichwa kwa ajili yenu.
 
Utaalam wao Ni kujaza tu ma-turbo kwny gari😄😄.
😅😅😅 Ila gari ambayo ni natural aspirated ina utamu wake, sema zenye supe charged au Bi-Turbo ni konyooo ukiwa unatembea nazo kuna mzuka flani unakapa unapoisikia inatanua kifua, nimeona ni nyie wajapan mmeanza kuwekeza kwenye Bi Turbo hizo Lc300.. Soon mtaanza kila chuma turbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…