Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Hapo kwenye kubimbilika kama kuna ukweli flan,crown ikifika kwenye speed 90 ikitokea dharura ya break ya ghafla 80% majanga lazima,crown na altezza zinazoongoza kuwamaliza vijana wengi wapenda mbio
Tupe na ratio ya wingi wa magari barabarani tukilinganisha Hizo Crown,Altezza vs BMW 3/5 Series&Benz C&E class.
 
😄😄 Kwangu mimi Natural aspirated engine all the way, lagging ya turbo hua inazingua.Gari za siku hizi ndio zimepunguza sana hio lagging.
 
😄😄 Kwangu mimi Natural aspirated engine all the way, lagging ya turbo hua inazingua.Gari za siku hizi ndio zimepunguza sana hio lagging.
Wana improve kila leo gari, Natural aspirated ni chaguo la kwanza ila wazungu gari zao kali unazo ona ambazo zina unyama mwingi zina vifurushi vya turbo vya kufa mtu 😅😅😅 wamekeza sana kwenye tech ya turbo. Lexus ana gari unyama sana na nin non turbo na mwendo wa kufa mtu
 
Mimi Ni fan wa Lexus,napenda kinu chenye cc 5000,6000(non-turbo),yaani hivyo ndivyo vitu vyangu(engine kubwa kubwa).Kitu Kiko stable, no vibration no what.

Hivi vidude vya Piston 4+Twin turbo kinaleta ma HP makubwa sio mambo yangu hayo mzee.
 
Mzungu ki gari kina 1.2. L anakipa dawa, njiani kinatembea kama kishada, ila pia kuna chuma zake unakuta kina 6. 2L Bi Turbo mzee.

Naonaga mzungu yupo ki performance zaidi na luxury.. Mjapan yupo kikazi zaidi na luxury kwa baadhi ya madaraja yake hasa Lexus ni 🔥🔥🔥 na hata vijana wengi hatuna uwezo wa kuzinunua.

Labda uwe ass kisser kama kina makamba
 
😄😄 huo ujinga wa ma-turbo naona Japan nao wameuanza,Toyota Yaris 3 cylinders,1.0L,hp 278
 
Issue ni reliability, Toyota anaangalia zaidi reliability, gari yenye turbo haipo reliable kama ambayo haina, reputation ya Toyota ni vyombo vyake kuwa reliable na hayupo tayari kuharibu reputation yao, naona wanafanya uchunguzi yakinifu kabla hawajafanya maamuzi ya kuifungua gari turbo, si kwamba Toyota haiwezi kutoa chombo kama mjeru ni vile tu wanalinda reputation yao.

Ndio maana miaka nenda rudi wana njia yao na namna yao ya utengenezaji wa vyombo vyao, sio wepesi kuchukua kila technology mpya na kuipachika kwao, mjeru yeye ni speed, comfortability, luxury, nguvu, suala la reliability utajua mwenyewe. Sijui kama niko sahihi ni maoni lakini.
 
😄😄 huo ujinga wa ma-turbo naona Japan nao wameuanza,Toyota Yaris 3 cylinders,1.0L,hp 278
Changamoto ( nasikia) sina uhakika sana.. Engine za tu gari kama huto hazina maisha marefu sana ile.. wana zi stress sana engine zinakuwa hazina maisha marefu maana zinalisha kitu ambacho juu ya uwezo wa kawaida.

Gari tamu ni Natural ndio maana napenda ma Jaguar ingawa nao hizi za karibuni mwendo ule ule
 
Upo sahihi kabisa, nimekupata vizuri sana. Mjerumani sio wa kazi kazi sana, kama unakuwa na opt unamuingiza road kama una trip ndefu full mkeka mbona wanakukoma, ikirudi services ya maana bandani
 
Sahihi kabisa mkuu.
 
Mkuu mi pia nina lexus ya zamani ya 1994 ila vitu vingi kwenye crown ni kama wamecopy paste kwenye hii ls400
 
Umemaliza kila kitu👏
 
Mkuu mi pia nina lexus ya zamani ya 1994 ila vitu vingi kwenye crown ni kama wamecopy paste kwenye hii ls400
Hongera mkuu gari nzuri sana hizo na comfo ipo ya kutosha, kama jamaa angu hapo juu wa kupuliza alivyosema, hizo ndio gari sasa, mi hata li LS 600 naishi nalo tu, hakuna kuazimana kwanza kila mtu ataliogopa, vipi hio consumption yake...
 
Asa unachukia gar sababu ya wachache wasiozijua
Kuzikebei!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…