Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

[emoji3][emoji3] ww huna tofauti na mm, hizo tax dah sijawah zielewa kabisa...mi ni mwendo wa hatchback tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mwengine huyu sijui katokea wapi🤣🤣 hatchback ni body type wala haina uhusiano na ground clearance. Vits, ist subaru impreza hizo nazo ni hatchback kama ulikuwa hujui
 
This muthafucka looks sick, super joyous ride right there...In love with the tail lights no disrespect..The rings are mad!!!
 
Hongera mkuu gari nzuri sana hizo na comfo ipo ya kutosha, kama jamaa angu hapo juu wa kupuliza alivyosema, hizo ndio gari sasa, mi hata li LS 600 naishi nalo tu, hakuna kuazimana kwanza kila mtu ataliogopa, vipi hio consumption yake...
Mkuu hii ls400 ndio iliyoipa jina Lexus huko marekani mpk ikawa Lexus hii tunayoijua leo,maana miaka hio Gari za Japan kwa huko US zilikua na sifa ya reliability tu lkn hazikua na sifa ya luxury.Na ndio maana mpk leo LS ndio flagship ya Lexus.

Zilivyoingia sokoni LS400 ilikua Ni game changer interms of technology, reliability,etc.na Iliuza kuliko Benz,mercedes, Cadillac za category yake.So siwezi kushangaa kwa tech kua Kwny hizo crown.

Kwa Upande wa Toyota, hii ls400 inafanana almost vitu vyote na Toyota celsior,Kuna baadhi ya features nilizikuta kwny Toyota celsior ya 2003 nilishangaa Sana maana mpk Gari za 2015 zilikua hazina features hizo
 
Utasubiri sana mzee, Crown is there to stay! Toka inaanza miaka ya 1940 huko ilikuwa ni gari ya heshima mpaka alipozaliwa Lexus wakaiua kwenye soko la Marekani imeendelea kuwepo mpaka leo still inapeta na model ya 2022 inapelekwa Marekani tena na itakimbiza vibaya mno.

Humo wajapani wametulia kuitengeneza gari na wamefanya kweli. Ungeweza kuitumia ya 2022 ndio ungeelewa maana ina balaa kuliko hio ulioiona kwenye picha hapo.
 
Hahahahaha Crown is there to stay. Ni gari iliokubalika na marika yote, wazee hadi vijana wanavimba nayo maana ni gari yenye mamlaka na wadhifa barabarani, ofisini, shuleni, bar, sheli, kanisani yani kokote ikipaki ni heshima.
 
Hivi inawezekana kufunga mashine ya 4S kwenye crown?
Wabongo hawashindwagi kitu.

Maana Freelander kibao zimejazwa 3S.

Lkn sijaona sababu ya kuweka 4s kwny crown,maana engine za crown Ni bulletproof,Bora hao Freelander wao walikua Wana sababu ya msingi ya kuweka 3S,engine za Freelander ziitwazo K-series zilikua Ni kimeo Sana.
 
Mwengine huyu sijui katokea wapi[emoji1787][emoji1787] hatchback ni body type wala haina uhusiano na ground clearance. Vits, ist subaru impreza hizo nazo ni hatchback kama ulikuwa hujui
Sijui vip tena mzee, hiyo body structure mm naielewa ukicompare na sedans, haijalishi aina ya gari..muda mwingine usikurupuke kuquote wanaume na kuanza kujichekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mshikaji alinunua Crown flani Zanzibar mwaka 2015 ilikuwa Crown Tom's ila toka hapo sijaona tena mtu mwingine anayo. Ni kwamba Tom's ilitoka moja au zimezuiwa kuwa imported bongoland? Au zinakuja kwa jina lingine?
Zanzibar hizo zinakuwa imported kutoka Dubai na Hong Kong. Hazijazuiliwa zipo kibao kwenye website za Hong Kong na zinauzwa bei kubwa tofauti na za Japan
 
huwa napenda watekenya watu wa crown 😂😂😂😂😂 maana unawapita halafu unawaacha ... mjerumani ukishapita 180 gari i anakuwa stable balaa yani hapo mjapana gari yake inayumba roho mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…