Toyota Crown Athlete - β€˜the Japanese Benz’

huwa napenda watekenya watu wa crown πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana unawapita halafu unawaacha ... mjerumani ukishapita 180 gari i anakuwa stable balaa yani hapo mjapana gari yake inayumba roho mkononi
Sio kwa Crown mzee, inatumia double wishbone setup kama akina benz tu na iko stable balaa
 
Hizi gari ziko sawa zote mbili ni swala la preferences tu na package inayokuja nayo. Engine ni ile ile hata platform ziliotengenezewa ni ile ile tofauti ni kasha.

Kubishana ni sawa na mtu anayependa Alion amseme mpenzi wa Premio kwamba Allion ni nzuri kuliko Premio wakati gari ni ile ile tu
 
Cha ajabu Lexus ina offer more comfort at a cheaper TAG than Benz
 
Sijui vip tena mzee, hiyo body structure mm naielewa ukicompare na sedans, haijalishi aina ya gari..muda mwingine usikurupuke kuquote wanaume na kuanza kujichekesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee sasa unaposema sedan cars huzielewi alaf unasema unapenda hatchback sidhan kama utakuwa unaelewekaπŸ˜€ kwa ufupi hakuna tofauti ya kimantiki zaidi ya body type tu.

Wote wasiopenda sedan wanapenda Suv and vice versa. Kujifunza sio ujinga kubali kujifunza kuliko kuandika vitu ambavyo uvielewi
 
Nami nataka kwa unafuu wa wese mkuu ili niwe kama naendesha baiskeli tu hata chooni napiga stata to toilet
 
Hongera mkuu gari nzuri sana hizo na comfo ipo ya kutosha, kama jamaa angu hapo juu wa kupuliza alivyosema, hizo ndio gari sasa, mi hata li LS 600 naishi nalo tu, hakuna kuazimana kwanza kila mtu ataliogopa, vipi hio consumption yake...
Kwenye comfortability ni balaa sana sema inakula wese sio poa CC 4,000 V8. Nilibadili engine nikaweka Beams 2000 CC 2,000 sema ndo nimevuruga kiasi mfumo wake wa umeme. Spea pia ilikuaga inazingua nimekuja kupata nafuu baada ya crown kuwa nyingi ndo zinaingiliana vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…