Toyota Crown Athlete - โ€˜the Japanese Benzโ€™

Toyota Crown Athlete - โ€˜the Japanese Benzโ€™

Wajeruma haya mambo ya kawaida sana [emoji28][emoji28] alafu toka kitambo ndio maana gari za mjerumani sahani ina 280 bei kitongaaa ila unaona mjapan yenye sahani 280 haigusiki na mzalendo
Ila sidhani kama suala la kisani ndo limepandisha bei ya hiyo gari mkuu... mbona lexus is Zina 260kph na bei mserereko tu??
 
Ila sidhani kama suala la kisani ndo limepandisha bei ya hiyo gari mkuu... mbona lexus is Zina 260kph na bei mserereko tu??
Lexus ni bei gani mkuu, wakati golf hadi 16 million unapata, niambie hiyo lexus ya 16 million mkuu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sema mzungu unarudisha hela yake kwenye services
 
Lexus ni bei gani mkuu, wakati golf hadi 16 million unapata, niambie hiyo lexus ya 16 million mkuu ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… sema mzungu unarudisha hela yake kwenye services
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Tatizo golf GTI ya Bei hio haifiki hio 280km/h tena vingine vina mbwembwe za kisahani kina 300km/,h vinaishiaga hapo kwny 228km/h tu.
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„ Tatizo golf GTI ya Bei hio haifiki hio 280km/h tena vingine vina mbwembwe za kisahani kina 300km/,h vinaishiaga hapo kwny 228km/h tu.
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Ila vinazitesa sana gari ambazo zinakomea 180... Gari za mzungu bei nafuu si unaona hizi Golf R ambazo zina 300.. Zina mwendo wa ajabu.. Angalia lexus za hiyo bei au mark x
Screenshot_20221210_130735_com.android.chrome.jpg
 
[emoji1][emoji1] Tatizo golf GTI ya Bei hio haifiki hio 280km/h tena vingine vina mbwembwe za kisahani kina 300km/,h vinaishiaga hapo kwny 228km/h tu.
Ujue speed tuu 220 ni speed kali sana yani speed umezidisha bwaa unatakiwa 120. Standard 80. Barabara za Dar maximum 60 na za mtaani iwe 30. Sema sisi hatufuati sayansi ya kuendesha. Bongo hamna barabara inakizi vigezo vya juu ya 80
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… 220 mbona ya kawaida sana mkuu, hii ni speed yangu ya kufikia nikiwa nasafari ndefu.. Nafika wakati mwingine hadi 250... sema najilipuaga tu.. Ukifsta sayansi mengi hatutoweza fanya, humu town huwa 120 labda pakorofi unacheza hata na 50,60
 
[emoji28][emoji28] 220 mbona ya kawaida sana mkuu, hii ni speed yangu ya kufikia nikiwa nasafari ndefu.. Nafika wakati mwingine hadi 250... sema najilipuaga tu.. Ukifsta sayansi mengi hatutoweza fanya, humu town huwa 120 labda pakorofi unacheza hata na 50,60
Mzee naelewa ila ni hatare labda ukute kipande kimenyooka na hamna gari na hamna kilimo unaweza kanyagia hizo speed vinginevyo ni kucheza patapotea
 
Sahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Mwaka 2019 Tena rais wa Toyota aitwae Akio Toyoda alirudia tena kufanya zoezi hilo, alizipanga glass za shampeni nyingi juu ya bonet la Lexus LS 500,na akaendesha hio Gari mpk kwny speed 138MPH=220km/h na Gari ikiwa kwny dyno na hakuna glass iliyovunjika hata 1.

Video ziko huko YouTube.

Hui ndio utamu wa Engine kubwa,tujaribu kufanya Hilo zoezi kwny kwny ka-engine kadogo tujionee ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Hatari sana, kuna mzungu alikuwa anafanya review ya Ls akakiri mwenyewe akasema nimeendesha gari nyingi za Germany kuanzia Benz,Bmw n.k lakini comfortability ya hii chuma ni next level...
 
Back
Top Bottom