Sahihi kabisa mkuu,mwaka 1989 Tangazo la Lexus Ls400 kwny TV lililowapa umaarufu Sana Ni pale walipozipanga glass nyingi za shampeni juu ya boneti la hio gari na ikaendeshwa ikiwa kwny dyno mpk kwny speed 145MPH=233km/h na hakuna glass iliyovunjika hata 1.
Mwaka 2019 Tena rais wa Toyota aitwae Akio Toyoda alirudia tena kufanya zoezi hilo, alizipanga glass za shampeni nyingi juu ya bonet la Lexus LS 500,na akaendesha hio Gari mpk kwny speed 138MPH=220km/h na Gari ikiwa kwny dyno na hakuna glass iliyovunjika hata 1.
Video ziko huko YouTube.
Hui ndio utamu wa Engine kubwa,tujaribu kufanya Hilo zoezi kwny kwny ka-engine kadogo tujionee ๐๐