Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Duh nini hii? Iko makini.
Duh nini hii? Iko makini.
Lexus LS500 mnyama tulivu sana
images (2).jpeg
 
Mkuu tupumzishe kidogo na Royal saloon zetu.
😅😅😅 Royal saloon mbona unyama mwingi sana, shida wanakosea kulinganisha visivyopaswa linganishwa.. Mtu anachukua kabisa S class analinganisha na Crown.. Crown ni gari nzuri sana tena sana zina sehemu kubwa ya mahitaji ya muendeshaji ila hatuwezi ziweke ulingo mmoja na S class
 
Napenda sana Germany machine lakini ikija kwenye Japanese budget transport....Crown eerrday
 
L

nzuri ndio ila hazitii mguu hapo hata kidogo kwenye ambazo nime post.. huwa lazima kuwe na kiongozi kwa hilo Benz hapo hasa Maybach Mercedes kawakataa mbali vizuri sana labda muamue kubisha
Mwisho wa siku tutabakia mashabiki tu, miongoni mwetu anaeweza kuendesha Maybach bado sijamuona 😂! Aheri hata Crown inaweza ku make sense
 
Mwisho wa siku tutabakia mashabiki tu, miongoni mwetu anaeweza kuendesha Maybach bado sijamuona 😂! Aheri hata Crown inaweza ku make sense
kwenye maisha kila kitu kinawezekana, tunaishi kwa maono na sio kwa mazingira yalio tuzunguka ... wengine tumetoka kwenye familia ambazo hata bike hazikuwepo but tukaja pata vigari kwa wakati ule tungeangalia mazingira tungejikana kupata gari aina yoyote, maybach haiwezekani tu kwa mtu asie na maono na ndoto..
 
Back
Top Bottom