Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sasa hapo nani hana ubora maana wote ni wakali tu sema mjapan ni headache freeKizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora[emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo nani hana ubora maana wote ni wakali tu sema mjapan ni headache freeKizuri ni kizuri lakini chenye ubora ni bora[emoji91][emoji91]
Mkuuu mwez ujao napokea Crown [emoji146] Athelete toka Japan unanipa mzuka sanaaaaMkuu Crown ni full-sized luxury sedan, gari ikishakuwa ni luxury lazima itakua bora, kuanzia features, comfortability, interior design n.k , Mark X ni midsize sedan...
Crown ina sensors za kutosha, safety features kwenye crown zipo nyingi kuliko Mark X, mfano chukua crown athlete/royal saloon ya 2010 tu ulinganishe safety features na mark x ya same year, mfano crown features kama Radar Collision Avoidance System, Pedestrian Detection System, Artificial Intelligence-Adaptive Suspension System n.k, umeme kwenye crown sio wa mgao, crown ina featues nyingi ambazo Mark X haina.
Mfano gari ikiwa na adaptive suspension system, hizo ni sensor na microprocessors zinakuwa zinafuatilia tairi za gari zinavyopita kwenye bara bara, sensors zinatuma hizo taarifa kwenye computer na gari ina adjust springs na shocks in real time ziendane na hali ya barabara ili kuleta smooth driving experience, sasa hii ya crown inatumia AI. Kwa hii feature tu inaelezea nani ni mshindi kwenye comfortability.
Kusema namba za ajali ndio kipimo cha comfortability ya gari unakosea, crown ipo very comfortable nahisi kuwa comfortable zaidi inapelekea mtu kutokua makini.
Kuna kipindi kuna mtu alinipa gari yake kwa muda, ilikuwa range rover old model flani, sasa kuna siku kuna msichana mmoja nikampa aendeshe mi nimekaa pembeni mbele, kuna kitu nilikua naperuzi kidogo, ilikua ni kasafari ka umbali kidogo, gari inatembea tupo sehemu barabara imenyooka, sijui ilikuaje nikaja kutazama kwenye speedmeter gari inasoma 90, ile Range ilikuwa imeandikwa kwa miles/hour, nikamuambia unatembea na speed kubwa mno ndipo akashtuka nikamuambia hii ni miles/h, hapo alikuwa zaidi ya 140km/h, lakini cha ajabu gari ilikua imetulia tuli, very comfortable yani, kiasi kwamba hata yeye mwenyewe yule manzi hakufahamu, comfortability wakati mwingine inaponza. Sasa umekula pombe unakutana na comfortability ya crown, bro what do you expect.
Crown ipo comfortable lakini huwezi sema inafikia comfortability ya Lexus LS, Mark X ipo comfortable lakini haifiki kwa crown.
Tofauti na hapo ni ushabiki maandazi tu.
Angalia isikuue tu maana huwa inadai kibati tu 🤣Mkuuu mwez ujao napokea Crown [emoji146] Athelete toka Japan unanipa mzuka sanaaaa
Nakubali mkuuu nitakuwa muangalifu sana mkuuu kwa muda sana hiii gari ndio gari ya ndoto yangu hata watu waiponde ila mie ndio nimenunua hata kma wanasema gari za chini mbaya ila kwangu ni nzuri sanaAngalia isikuue tu maana huwa inadai kibati tu [emoji1787]
Kaka nakuita tena Kaka hizi crown [emoji146] zinadanganya sana unaweza ukaona upo speed ya kawaida sana kama hauangalii speed meter hizi gari ziko comfortable sana hata uki 160km unaweza ukahisi upo 100kmNakubali mkuuu nitakuwa muangalifu sana mkuuu kwa muda sana hiii gari ndio gari ya ndoto yangu hata watu waiponde ila mie ndio nimenunua hata kma wanasema gari za chini mbaya ila kwangu ni nzuri sana
Surely ziko very comfortable zinatembea sio poa ziko very stable upo 120 lakini huhisi kabisa kama umefika gari haiyumbi ..Jitahidi kausiwe mtu wa speed kali sana ...ila kama unauzoefu ndio mtu wa mashindano chuma ndio yenyeweKaka nakuita tena Kaka hizi crown [emoji146] zinadanganya sana unaweza ukaona upo speed ya kawaida sana kama hauangalii speed meter hizi gari ziko comfortable sana hata uki 160km unaweza ukahisi upo 100km
Niko na crown since 2019 haijanizingua chochote tofauti na mfuko wangu kuniqmbia sasa sina hela ya kuweka mafuta na service za kawaida
Kaka nakuita tena Kaka hizi crown [emoji146] zinadanganya sana unaweza ukaona upo speed ya kawaida sana kama hauangalii speed meter hizi gari ziko comfortable sana hata uki 160km unaweza ukahisi upo 100km
Niko na crown since 2019 haijanizingua chochote tofauti na mfuko wangu kuniqmbia sasa sina hela ya kuweka mafuta na service za kawaida
Mimi nina swali kidogo, kwa nini wale marapa wamarekani weusi wanaopenda vito ya thamani utawasikia wakijisifu wanaimba Beamer, Benz na mengineyo ila hawaimbi Toyota ...nasindikiza na wimbo tu
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark xHio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,
MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
hapo kwenye airbag haupo sahihi mkuu .. Kuna mark x hapa ya 2004 huko na ina airbags 9. so unaweza ukarekebisha.. pia mbali na engine mark x na crown zinashare parts nyingi tu mkuuNgoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x
Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea
Crown ina more comfortable seats kuliko mark x, mark x ni pure sport car ina sport seats, which are comfortable ila sio kwa level za crown, bro, tena ukutane na royal saloon G package ndo kabisaaaa bala zito
Crown ina soft suspension hasa royal saloon mneso wa mule ndani sio poa kaka, mar x ni sport executive sedan inakuja na stiff suspension bro
Crown ina advanced stability control kuliko mark x bro ndo mana crown jnaweza kata kona na speed kali bila gari kuvuta upande mmoja, mark x huwa inavuta upande mmoja ukikaga kona na speed kubwa na pia mark x ni nyepesi kuliko koz ina 1500 na crown ina 1620kg crown stability sio nzuri kuliko crown
Crown ina active noise colancelation kelele za nje haziingii ndani ni presidential level kaka, ndo japanese lemuosine ha viongozi waaandamizi japan koz ni full size executive sedan
Crown ina body ngumu kuliko mark x na mfano G package inakuja mpka na 8airbags
Tukija kwa grs200 wanapenda kuziita new model ina tech ambazk huwezi zipata kwa mark x bro
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na air bag katikati ya siti ya dereva na abiria, kwenye ajali msigongane mkaumizana
Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na pedestrian detection hugongi mtu kaka inapiga alarm
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukimwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa
Hizo features zote hapo hamna mark x yenye nazo
Generaly crown ni full size executive sedan yenye presidential levels inakuwa compared na benz E class, bmw 5series, aud a6, jagaur xf, nissan fuga, lexus gs,
Ila mark x ni compact executive sport haina presidetial levels of comfort inakuwa compared na bmw 3series, aud a4, nissan skyline, mazda 6, benz c class
Na hapo sijagusia toyota crown majesta level za S class hizo mzee baba starehe ya humo sio poaa
Crown ku share engine na mark x hakuifanyi hizi gari ziwe sawa,
Benz E class ina 1790cc M271 engine same ipo kwenye c class ,ila haifanyi c class iwe sawa na E class eti kisa zina share engine
Mark x ni gari nzuri kama unapenda sport looking sedan yenye comfort nzuri
Ila kama unataka maximum comfort, stability, handling, space toyota crown ni balaa zito mzee baba
Mimi mi DRMECHANICS_TZ
Utanipata instagram kwa hilo jina na tiktok pia youtube kuna review kali snaa za magari nimefanga account inaitwa ROC TV
NAWASILISHA
Yes hasa mark x sport premium huwa na 9airbags ila huwa nadra sana kuzipatahapo kwenye airbag haupo sahihi mkuu .. Kuna mark x hapa ya 2004 huko na ina airbags 9. so unaweza ukarekebisha.. pia mbali na engine mark x na crown zinashare parts nyingi tu mkuu
upo sahihi mkuu, hii pia ni premium.Yes hasa mark x sport premium huwa na 9airbags ila huwa nadra sana kuzipata
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x
Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea
Crown ina more comfortable seats kuliko mark x, mark x ni pure sport car ina sport seats, which are comfortable ila sio kwa level za crown, bro, tena ukutane na royal saloon G package ndo kabisaaaa bala zito
Crown ina soft suspension hasa royal saloon mneso wa mule ndani sio poa kaka, mar x ni sport executive sedan inakuja na stiff suspension bro
Crown ina advanced stability control kuliko mark x bro ndo mana crown jnaweza kata kona na speed kali bila gari kuvuta upande mmoja, mark x huwa inavuta upande mmoja ukikaga kona na speed kubwa na pia mark x ni nyepesi kuliko koz ina 1500 na crown ina 1620kg crown stability sio nzuri kuliko crown
Crown ina active noise colancelation kelele za nje haziingii ndani ni presidential level kaka, ndo japanese lemuosine ha viongozi waaandamizi japan koz ni full size executive sedan
Crown ina body ngumu kuliko mark x na mfano G package inakuja mpka na 8airbags
Tukija kwa grs200 wanapenda kuziita new model ina tech ambazk huwezi zipata kwa mark x bro
Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na air bag katikati ya siti ya dereva na abiria, kwenye ajali msigongane mkaumizana
Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na pedestrian detection hugongi mtu kaka inapiga alarm
Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukimwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa
Hizo features zote hapo hamna mark x yenye nazo
Generaly crown ni full size executive sedan yenye presidential levels inakuwa compared na benz E class, bmw 5series, aud a6, jagaur xf, nissan fuga, lexus gs,
Ila mark x ni compact executive sport haina presidetial levels of comfort inakuwa compared na bmw 3series, aud a4, nissan skyline, mazda 6, benz c class
Na hapo sijagusia toyota crown majesta level za S class hizo mzee baba starehe ya humo sio poaa
Crown ku share engine na mark x hakuifanyi hizi gari ziwe sawa,
Benz E class ina 1790cc M271 engine same ipo kwenye c class ,ila haifanyi c class iwe sawa na E class eti kisa zina share engine
Mark x ni gari nzuri kama unapenda sport looking sedan yenye comfort nzuri
Ila kama unataka maximum comfort, stability, handling, space toyota crown ni balaa zito mzee baba
Mimi mi DRMECHANICS_TZ
Utanipata instagram kwa hilo jina na tiktok pia youtube kuna review kali snaa za magari nimefanga account inaitwa ROC TV
NAWASILISHA
3GR inakula vizuri zaidi. More than 10Km/l inafikaga mpaka 13km/l kwenye highway cruise.Hivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?
Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR
Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR
Chache saaa kuzikuta G package kwa 4grHivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?
Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR
Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR