Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

IMG_0046.jpg

No mara waa..!! Crown is lit [emoji91]
 
Mkuu Crown ni full-sized luxury sedan, gari ikishakuwa ni luxury lazima itakua bora, kuanzia features, comfortability, interior design n.k , Mark X ni midsize sedan...

Crown ina sensors za kutosha, safety features kwenye crown zipo nyingi kuliko Mark X, mfano chukua crown athlete/royal saloon ya 2010 tu ulinganishe safety features na mark x ya same year, mfano crown features kama Radar Collision Avoidance System, Pedestrian Detection System, Artificial Intelligence-Adaptive Suspension System n.k, umeme kwenye crown sio wa mgao, crown ina featues nyingi ambazo Mark X haina.

Mfano gari ikiwa na adaptive suspension system, hizo ni sensor na microprocessors zinakuwa zinafuatilia tairi za gari zinavyopita kwenye bara bara, sensors zinatuma hizo taarifa kwenye computer na gari ina adjust springs na shocks in real time ziendane na hali ya barabara ili kuleta smooth driving experience, sasa hii ya crown inatumia AI. Kwa hii feature tu inaelezea nani ni mshindi kwenye comfortability.

Kusema namba za ajali ndio kipimo cha comfortability ya gari unakosea, crown ipo very comfortable nahisi kuwa comfortable zaidi inapelekea mtu kutokua makini.

Kuna kipindi kuna mtu alinipa gari yake kwa muda, ilikuwa range rover old model flani, sasa kuna siku kuna msichana mmoja nikampa aendeshe mi nimekaa pembeni mbele, kuna kitu nilikua naperuzi kidogo, ilikua ni kasafari ka umbali kidogo, gari inatembea tupo sehemu barabara imenyooka, sijui ilikuaje nikaja kutazama kwenye speedmeter gari inasoma 90, ile Range ilikuwa imeandikwa kwa miles/hour, nikamuambia unatembea na speed kubwa mno ndipo akashtuka nikamuambia hii ni miles/h, hapo alikuwa zaidi ya 140km/h, lakini cha ajabu gari ilikua imetulia tuli, very comfortable yani, kiasi kwamba hata yeye mwenyewe yule manzi hakufahamu, comfortability wakati mwingine inaponza. Sasa umekula pombe unakutana na comfortability ya crown, bro what do you expect.

Crown ipo comfortable lakini huwezi sema inafikia comfortability ya Lexus LS, Mark X ipo comfortable lakini haifiki kwa crown.
Tofauti na hapo ni ushabiki maandazi tu.
Mkuuu mwez ujao napokea Crown [emoji146] Athelete toka Japan unanipa mzuka sanaaaa
 
Nakubali mkuuu nitakuwa muangalifu sana mkuuu kwa muda sana hiii gari ndio gari ya ndoto yangu hata watu waiponde ila mie ndio nimenunua hata kma wanasema gari za chini mbaya ila kwangu ni nzuri sana
Kaka nakuita tena Kaka hizi crown [emoji146] zinadanganya sana unaweza ukaona upo speed ya kawaida sana kama hauangalii speed meter hizi gari ziko comfortable sana hata uki 160km unaweza ukahisi upo 100km
Niko na crown since 2019 haijanizingua chochote tofauti na mfuko wangu kuniqmbia sasa sina hela ya kuweka mafuta na service za kawaida
 
Surely ziko very comfortable zinatembea sio poa ziko very stable upo 120 lakini huhisi kabisa kama umefika gari haiyumbi ..Jitahidi kausiwe mtu wa speed kali sana ...ila kama unauzoefu ndio mtu wa mashindano chuma ndio yenyewe
 
Ni gari nzuri sana tatzo ni kulihudumia tu
Kaka nakuita tena Kaka hizi crown [emoji146] zinadanganya sana unaweza ukaona upo speed ya kawaida sana kama hauangalii speed meter hizi gari ziko comfortable sana hata uki 160km unaweza ukahisi upo 100km
Niko na crown since 2019 haijanizingua chochote tofauti na mfuko wangu kuniqmbia sasa sina hela ya kuweka mafuta na service za kawaida
 
Hio ndio fact hutak hulazimishwi tatizo nyie mnakariri na wote mmeshkiwa na proganda za wana crownia yaani wooote mmechukuliwa na izo propaganda embu siku moja panda MARK x alafu ndo urudi apa tubishane kuhusu ni nini na nani ni nani MARK X KUNA VINGI SANA KAMZIDI MBALI CROWN japo wengi mmekariri tu crown crown,

MARK X NI SEDAN CAR BORA SANA NA BOMBA SANA SANA KWANZA TU LETA RATIO YA AJALI ZA KUPINDUKA KATI YA MARK X NA CROWN LETA IYO RATIO ALAFU NDO NITAKUONGEZEA FACTS NYINGINE
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x

Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea

Crown ina more comfortable seats kuliko mark x, mark x ni pure sport car ina sport seats, which are comfortable ila sio kwa level za crown, bro, tena ukutane na royal saloon G package ndo kabisaaaa bala zito

Crown ina soft suspension hasa royal saloon mneso wa mule ndani sio poa kaka, mar x ni sport executive sedan inakuja na stiff suspension bro

Crown ina advanced stability control kuliko mark x bro ndo mana crown jnaweza kata kona na speed kali bila gari kuvuta upande mmoja, mark x huwa inavuta upande mmoja ukikaga kona na speed kubwa na pia mark x ni nyepesi kuliko koz ina 1500 na crown ina 1620kg crown stability sio nzuri kuliko crown

Crown ina active noise colancelation kelele za nje haziingii ndani ni presidential level kaka, ndo japanese lemuosine ha viongozi waaandamizi japan koz ni full size executive sedan

Crown ina body ngumu kuliko mark x na mfano G package inakuja mpka na 8airbags

Tukija kwa grs200 wanapenda kuziita new model ina tech ambazk huwezi zipata kwa mark x bro

Ina radar cruise control inayotumia gps data kaka sio poa, na ndio gari y kwanza kuwa na hii tech duniani mnamo miaka ya 2008

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na air bag katikati ya siti ya dereva na abiria, kwenye ajali msigongane mkaumizana

Crown Grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na collision avoidence system ukitaka kugonga kitu au gari ya mbele inapiga alarm afu inachaji brake ukikanyaga tu unapata instant brakes mzee baba

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na pedestrian detection hugongi mtu kaka inapiga alarm

Crown grs200 ndo gari ya kwanza duniani kuwa na driver monitoring system inapima kama macho ya dereva yako wazi hujasinzia na inafanya kazi hata usiku na ukimwa umevaa sunglass, ukilala tu inapiga alarm sio poa

Hizo features zote hapo hamna mark x yenye nazo

Generaly crown ni full size executive sedan yenye presidential levels inakuwa compared na benz E class, bmw 5series, aud a6, jagaur xf, nissan fuga, lexus gs,

Ila mark x ni compact executive sport haina presidetial levels of comfort inakuwa compared na bmw 3series, aud a4, nissan skyline, mazda 6, benz c class

Na hapo sijagusia toyota crown majesta level za S class hizo mzee baba starehe ya humo sio poaa

Crown ku share engine na mark x hakuifanyi hizi gari ziwe sawa,

Benz E class ina 1790cc M271 engine same ipo kwenye c class ,ila haifanyi c class iwe sawa na E class eti kisa zina share engine

Mark x ni gari nzuri kama unapenda sport looking sedan yenye comfort nzuri

Ila kama unataka maximum comfort, stability, handling, space toyota crown ni balaa zito mzee baba

Mimi mi DRMECHANICS_TZ

Utanipata instagram kwa hilo jina na tiktok pia youtube kuna review kali snaa za magari nimefanga account inaitwa ROC TV

NAWASILISHA
 
hapo kwenye airbag haupo sahihi mkuu .. Kuna mark x hapa ya 2004 huko na ina airbags 9. so unaweza ukarekebisha.. pia mbali na engine mark x na crown zinashare parts nyingi tu mkuu
 
Hivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?

Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR

Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR
 
3GR inakula vizuri zaidi. More than 10Km/l inafikaga mpaka 13km/l kwenye highway cruise.
 
Hivi kuna Crown 4GR yenye G packages ?

Maana kuna mwamba alikuwa anataka yenye heated seat lkn tumetafuta site zote hakuna yenye 4GR

Na vipi mwenye uzoefu wa fuel consumption 3GR ukoje
Is there remarkable difference btn 4GR vs 3GR
Chache saaa kuzikuta G package kwa 4gr

Well 4gr na 3gr mjini hazia utoafuti kwa wese bro from my experience

Yanii utofauti mi mdoooogo sanaa ku notice na kwa weight ya crown ilotakiwa ianzie na 3gr

Ila safari 3gr inatumia vizuri sanaaa kwa sababu engine ina nguvu huhitaji rpm za juuu yaaani 3gr unaweza tembea 140kph na 2500rpm
Unaweza tembea 150kph na 15km/L

4gr maximum safari ni 14kpg na hapo speed isivuje 120kph, ila 3gr unatemeba hadi 140 to 150 na ulaji wa 2km/L more than 3gr

Ukitembea 120 kwa 3gr inaenda hadi 16km/L even more

Ila its so smooth kuliko 4gr na 0 to 100 ni 7.6sec sio poaaaaa wakati 4gr ni 8.5sec
 
Back
Top Bottom