Toyota Crown Athlete - ‘the Japanese Benz’

Huwa natamani sana kusafiri na crown umbali mrefu
In my experience Nilitoka Arusha mpaka Mwanza na Brevis Ai250 hyo raha niliyokula sijawahi ona,nilienjoy sana ile safari
Siku nikisafiri na mercedez benz c class sjui kama ntalala
NB;kama sedan safari ndefu unaenjoy vile vipi kuhusu hizi prado LC new model mpya waliopewa mawaziri,kuna wana wanatafuna maisha 😀
Nimesafiri juzi kutoka Dar to Arusha na crown athletic ,niliweka full tank,mpaka nafka Arusha bado mafuta yapo tu

Hii imekaaje wakuu it means gari hangi inatumia vzuri mafuta?
 
Tairi saizi ngapi na ni aina gani

Yangu ilikuja na BridgeStone 225/45R18

Nlitoa nkaweka Triangle za mchina aseee nmetoa
Zinavuma sana ile kashata hapana

So nmerudisha zangu Bridgestone
Nmeshauriwa niweke kati ya hizi
-Dunlop
-Goodyear
-Michelin
-Continental
-Au Bridgestones yenyewe

Japo bei zimesimama tyre moja inaanzia laki3

Ila
-Joyroad na Trackmac ni laki1.70
-ceat ya india laki 3
-kapsen laki 2.25
-Hillo na Triangle ni laki 2 mpaka 2.30
Mkuu tairi laki 3 unalalamika? Mbona bei ya kawaida.
 
Huwa natamani sana kusafiri na crown umbali mrefu
In my experience Nilitoka Arusha mpaka Mwanza na Brevis Ai250 hyo raha niliyokula sijawahi ona,nilienjoy sana ile safari
Siku nikisafiri na mercedez benz c class sjui kama ntalala
NB;kama sedan safari ndefu unaenjoy vile vipi kuhusu hizi prado LC new model mpya waliopewa mawaziri,kuna wana wanatafuna maisha [emoji3]
Sema kusafiri Kwa Crown niraha Sana, full comfortability ,hakuna unyonge barabarani
 
Huwa natamani sana kusafiri na crown umbali mrefu
In my experience Nilitoka Arusha mpaka Mwanza na Brevis Ai250 hyo raha niliyokula sijawahi ona,nilienjoy sana ile safari
Siku nikisafiri na mercedez benz c class sjui kama ntalala
NB;kama sedan safari ndefu unaenjoy vile vipi kuhusu hizi prado LC new model mpya waliopewa mawaziri,kuna wana wanatafuna maisha [emoji3]

Kwenye lami Sedan zimetulia zaidi kuliko SUV (kama Prado), generally
 
8-10 toun trips
Highway 13-14km/L

But nachoshauri crown usiweke mafuta ya efu 20 au 30
Yanawahi kuisha tofauti na ukiweka 50k au laki

Kuna jamaa aliwahi kueleza humu reason behind
But its practically true! Tia full tank unasahau
Tumia lugha hii ya ukiweka mafuta ya 50k naenda km 150.au 130 inaeleweka vyema kuliko kuweka per litres.
 
Nimesafiri juzi kutoka Dar to Arusha na crown athletic ,niliweka full tank,mpaka nafka Arusha bado mafuta yapo tu

Hii imekaaje wakuu it means gari hangi inatumia vzuri mafuta?
Mi ninayo grs180 mkuu hizi gari watu wanaziogopa tuu. Wese la 50k napiga town trips zangu toka mbezi beach to kariakoo kila siku week nzima. Ukiikanyaga vizur highway RPM iwe 2000 ikizid sana 3000 unapata consumption ya 14km/h ambapo ukiweka wese full tank 70Litres tena petrol station kama GBP, ENGEN, PUMA, TOTAL na ORYX unafika chuga na wese kibao lipo maana utatembea zaid ya 800km.
 
Huwa natamani sana kusafiri na crown umbali mrefu
In my experience Nilitoka Arusha mpaka Mwanza na Brevis Ai250 hyo raha niliyokula sijawahi ona,nilienjoy sana ile safari
Siku nikisafiri na mercedez benz c class sjui kama ntalala
NB;kama sedan safari ndefu unaenjoy vile vipi kuhusu hizi prado LC new model mpya waliopewa mawaziri,kuna wana wanatafuna maisha 😀
Kitu huwez amini ukiwa na sedan njia ya kufunguka utaenjoy kuliko hizo SUV unazosema. Zile hata kona ukilala nayo unaona kama ndo mnaanguka. Ila sedan utawala tuu. Nimesafiri Moshi Dar na harrier tako la nyani zaidi ya mara moja tena ikiwa imekula nundu imetamia vizur ila kwenye kona hofu ilikuwepo. Kwenye crown nalala nayo na hufeel kitu unakuja kustuka kumbe umelala na 120 au 140
 
Sio kitu cha kujisifia kwenye kona unaendesha 140kph unless uwe unaweza kuona 200m mbele yako
 
Harrier unaionea tu aje mwenye uzoefu wa volkswagen toureg au audiQ8 kwenye kona nazo zinaterereka?😀
Humo stability ni ya kumwaga
Kitu huwez amini ukiwa na sedan njia ya kufunguka utaenjoy kuliko hizo SUV unazosema. Zile hata kona ukilala nayo unaona kama ndo mnaanguka. Ila sedan utawala tuu. Nimesafiri Moshi Dar na harrier tako la nyani zaidi ya mara moja tena ikiwa imekula nundu imetamia vizur ila kwenye kona hofu ilikuwepo. Kwenye crown nalala nayo na hufeel kitu unakuja kustuka kumbe umelala na 120 au 140
 
Mi ninayo grs180 mkuu hizi gari watu wanaziogopa tuu. Wese la 50k napiga town trips zangu toka mbezi beach to kariakoo kila siku week nzima. Ukiikanyaga vizur highway RPM iwe 2000 ikizid sana 3000 unapata consumption ya 14km/h ambapo ukiweka wese full tank 70Litres tena petrol station kama GBP, ENGEN, PUMA, TOTAL na ORYX unafika chuga na wese kibao lipo maana utatembea zaid ya 800km.
Kweli kabisa
 
Hii yangu bado mpya
Nmeagiza mwenyewe mwaka huu

So nmefanya service castrol oil ,oil filter,air filter vyote og nmebadili oxygen sensor 1. So chuma iko poaa

Nazani kitu kinachoongeza ulaji wa mafuta
Ni poor services

Mfano jamaa angu ana crown kaweka plug za efu 15
Wakati plug OG zinaanzia efu40 @,oilfilter ya efu10[emoji2]
Gari lazima itakula mafuta tu,weka vitu og
Plugs og kwa dar ulizipata duka gani mkuu?
 
Back
Top Bottom