Toyota hizi...!

duuu! mkuu. baada ya kliniki tu we ndani ya ndinga! mguu haufiki kwenye accelerator ila unakomaa!

tembea uone!
 
hata mnunuaji wa chuma chakavu anaikataa!

ngoja sisi wamiliki phoenix tusitie neno, hamchelewi kutubatiza tunasumbuliwa na pepo za kwanini. mmh maana si kwa mchambo ule wa ist. hakika umewatoa watu shimoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Mimi ninaitamani sana XC90 kuna jamaa Kidatu anayo aliniambia ni nzuri ila spare ndogo ndogo kama filter hazipatikakani kiurahisi hii ikoje brother
Chukua mzee kama bado. Volvo XC90 ni tank. Hadi mwaka 2018 toka ianze kuuzwa UK, hakuna mtu aliyekufa kwa ajali akiwa kwenye hiyo gari.



 
Kweli bana ajali haina kinga, unaweza kuwa sahihi na unazingatia usalama ila mwenzio gari ikamshinda akakuletea nzima nzima usoni. Au lorry likayumba na kudondoka kati kati halafu hapo umeiva uko 150KPH hadi kufunga breki unajikuta ushajaa.
 
Huu ndio ukweli ambao siwezi bishana nao chief...Iko wazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…