Toyota hizi...!

RRONDO hii kweli kichapo FC πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ upo sahihi kumiliki Golf GTI! Huu udhalilishaji wa mchana kweupe 4GR imegota 180KPH ila mwenye 260KPH anaendelea kuchanja mbuga
Hii kwi kwii.. kademu kanashobokaa akili zake tayari zilihamia kwa jamaa wa golf... kaliwish kangekuwa huko ...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wamechapwa vibaya, alafu wamesomeshwa namba.. heshima muhimu.. jamaa wa golf angemtaka hata na huyo demu wao angemchukua.. maana mtoto tayari alilowa kwa kuchezi mziki wa msela
 
Juhudi zimeanza 2021 ndani ya miaka 3 nikiwa na afya na uzima kwa uweza wa Juhudi zangu na Baraka za Mungu chuma itakua uwani model yoyote ile.
Golf R edition itakufaa zaidi.. utawapasua sana vifua wanao kufata fata πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…