Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Nimekuelewa mzee wa SAE40!
 
Kwenye magari madogo torque ni muhimu kuliko horsepower katika mazingira yetu na katika barabara zetu za Afrika kwa sababu barabara zetu nyingi zinahitaji gari zenye nguvu kubwa na ground clearance kubwa pia.

Kama gari inatembea sana porini…vinginevyo hata kwa Tanzania sasa hivi gari yenye torque ya kawaida itafaa tu. Barabara nyingi zinapitika siku hizi hata kwa SUV ndogo
 
Bora wewe, mimi hata ya mwaka 90 sijawahi kupanda hata kwa kupewa lifti...umasikini usikie tu☹️
Hujawahi kupanda land cruiser mzee baba?

Mie 70, 80,100 series nimezikwea ila 200 series bado nakula kwa macho! Naomba uzima japo niionje hio 300 series
 
Kama gari inatembea sana porini…vinginevyo hata kwa Tanzania sasa hivi gari yenye torque ya kawaida itafaa tu. Barabara nyingi zinapitika siku hizi hata kwa SUV ndogo
Vijijini barabara hazipitiki!
 
Hivi injini yake ni cc ngapi? Au ni ile ile 4500?

Kama ni ile ile kwenye kipengele cha wese ni balaa
 
Nawaza nitafungia wapi ngao (bull bar) maana naona unaweza haribu show ya mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…