Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
large natural Aspirated V8 v/s not soo small twin turbocharged V6Ila ajabu ina hp kubwa kuliko V8
Si unaona sa hivi ka toyota GR yaris a.k.a Vitz kanavyowakimbiza wajerumani mbaya kabisa.,hakuna cha golf gti wala nini.Yeah sahizi Toyota anakula na wajerumani Meza moja!😂😂😂
Kale kadude kanawatingisha sana wajerumani inabidi warudi maabara kupika turbo zaidi! Imagine kangekuwa na piston ya 4 ingekuwaje!Si unaona sa hivi ka toyota GR yaris a.k.a Vitz kanavyowakimbiza wajerumani mbaya kabisa.,hakuna cha golf gti wala nini.
sh.ngapi kuileta bongo?Hatimae mfalme wa 4*4 imara kutoka Japan amekuja kivingine ikiwa ni toleo jipya na muendelezo wa 200 series,,, hi ya sasa ni completely re-design iitwayo 300 Series!
Wasifu wake:
Imeboreshwa kwa kupewa engine ya V6 Twin Turbo yenye uwezo wa kuzalisha 400HP tofauti na ile V8 kubwa ya 5.7L iliokuwa inazalisha 381HP! Hii ni ili kuongeza ufanisi yani fuel efficiency na ku maximize power!
Driving assistance package kama lane departure! Camera ya 360 sorround na mazaga zaga mengine!
Interior redesign kwenye upande wa infotainment napo wamefanya modifications!
Some pictures
View attachment 1773697
View attachment 1773698
Hahah Toyota inaionyesha dunia kwamba ikiamua kurudi kwny mambio hakuna wa kuizua.Kale kadude kanawatingisha sana wajerumani inabidi warudi maabara kupika turbo zaidi! Imagine kangekuwa na piston ya 4 ingekuwaje!
Mkuu chukua ya kutosha tuje tupige nayo pichalazima niwe nayo hii gari.
Yesu anakushangaa anasema huyu kijana huyu yani mimi nilipanda punda fresh tu ila yeye ananiomba vieitehii gari lazima nitakuwa nayo kwa Jina la Yesu.
Tayari zimetua bongo hizi, sisi ni matajiri tutembee vifua mbele.Hahahaha uzuri serikali inaagizaga 0km kwahio soon tu utaanza kuona STL mtaani zikiwa ni LC300 dude tamu sana aisee! Kiboko zaidi ya 200 series kwa kweli! It seems to be a very appealing car in person. Wacha tuone zikifika hao jamaa wote watapewa lift tu maana washatoka mchezoni 😂😂😂
Amenhii gari lazima nitakuwa nayo kwa Jina la Yesu.
AmenAmen, namimi ntaomba lift kwako na utanipa kwa Jina la Yesu!
ma turbo kama yotree 😄😄Ila ajabu ina hp kubwa kuliko V8
Jamaa nasikia kashusha G Wagon mpya ya 2020 😄😄😄We kama huoni kipya sio mteja wa LC! Bakia huko huko kwenye G Wagon! Wacha wapenzi wa hili workhose tujimwaye mwaye😂
unaposema natural aspirated V8 za toyota unaongelea UZ series? , maana 1Vd ni turbocharged from day one.large natural Aspirated V8 v/s not soo small twin turbocharged V6
kwa miaka mingi sana kwenye forums za magari watu walikuwa wanahoji ni kwann toyota anang'ang'ana na natural Aspirated engines za V8 zenye displacement kubwa
wakati anaweza akapata power zaidi kwa kutumia engines ndogo ambazo ziko Boosted
naona kwa toleo hili amefanyia kazi maoni ya wadau
kuna vitu kama vitatu vinavyofanya engine za siku hizi kufanya maajabu ya nguvuHiyo ni turbo tu mzee.
Sawa na germany cars.
yea and UR series hasa ile 3UR-fe which is 5.7 ndio ilizua mjadala huo wa why wasingetoa twin turbo V6unaposema natural aspirated V8 za toyota unaongelea UZ series? , maana 1Vd ni turbocharged from day one.
Keep lying to yourself. If a45 s was the same price as a gr yaris would you still buy gr yaris? No. Gr yaris is popular because of the price. But if the price was not an objective every one will get an a45 s. And no, the Germans dont lose sleep over toyotaSi unaona sa hivi ka toyota GR yaris a.k.a Vitz kanavyowakimbiza wajerumani mbaya kabisa.,hakuna cha golf gti wala nini.
Kanatoboa mzee baba usikachukulie simple!Hahah Toyota inaionyesha dunia kwamba ikiamua kurudi kwny mambio hakuna wa kuizua.
Na amewaweza wajerumani kwa sana tu,ni mwendo wa kujaza ma turbo na sa hivi amekawekea kisahani cha 280km/h(ingawa kanaishia 240km/h) so kwa wale wenye kupenda kuangalia kisahani wakarushwe roho kama mjerumani anavyowarushaga.