Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini


We komaa tu na 'IF'.

Nobody give a fuc.k bout yo Germany blah blah blah.

Imefikia hatua ka vits mnaanza kukalinganisha na AMG,teh teh teh
 
ma spidi kaka... wengi wanapenda ma spidi na sio uwezo wa engine kusukuma/kuvuta mzigo
Torque haihusu tu kuvuta mizigo bali inahusu pia gari kupanda milima,kupita kwenye barabara zetu mbovu na kukabidhiana na vikwazo mbalimbali barabarani kama vile utelezi,madimbwi na kadhalika.Haya yote ndiyo asili ya barabara zetu hapa Afrika na ndiyo maana torque ni muhimu kwetu sisi kuliko horsepower.
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo katika hizi Piezoelectric nozzle hasa ulivyosema hii kitu

"up to five times in a miliseccond in a single stroke"
 
Mkuu naomba ufafanuzi kidogo katika hizi Piezoelectric nozzle hasa ulivyosema hii kitu

"up to five times in a miliseccond in a single stroke"
Natumai una fahamu kuna mapigo manne ili kukamilisha engine cycle.
Your average traditional mechanical nozzle huwa inamwaga mafuta mara moja tu wakati piston ipo tdc kwa engine za diesel, piezzo nozzle ina uwezo wa kumwaga mafuta hadi mara tano kwenye pigo la combustion, hii ndio sababu engine za common rail huwa zina sound smooth kwa kuwa hazina ile diesel knock sound.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…