Toyota Land Cruiser 300 Series iko tayari kwa ajili ya kuendelea kuadabishana mjini

Watoto wa mama watakuja hapa kukwambia ooooh hii ina muundo wa zamani,ina umbo la box sijui haina air suspension na blah blah kibao.

Hawajui hata wanachokiongelea.
Upo sahihi, mziki wa hizi gari, watu wa off road ndio tuna uelewa.... unaenda mahala ambapo wengine hawaendi na una uhakika wa kurudi πŸ˜„πŸ˜„
 
Hapo nimekupata sasa na zinafanya hivyo kwa kutumia pulse width?
 
Weka Pictures Twende Sawa Sawa
Kazi Yetu Kuona Tu Tunafarijika Maana Uwezo Hakuna Wa Kanunua Kula Kulala Tabu
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji2][emoji485][emoji483][emoji484]
Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Kazi iendelee!!
 
Mzee wa Horse Power [emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…