Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Mtu mzima kuzungumzia fuel economy ni utopolo...Haya mambo ya sijui gari fulani inakimbia sana ni utoto wa chekechea na darasa la kwanza!Nilipokuwa chekechea ndiyo umri pekee ambao nilikuwa nashobokea gari kukimbia sana.Ukimuona mtu mzima anashobokea magari kukimbia jua huyo ni punguani.Mtu mzima unapaswa uzungumzia mambo ya features za usalama,comfortability,durability ya gari,fuel economy,upatikanaji wa mafundi wa kisasa na kadhalika.
Hamna gari hapo... Kuigana tu kwa wabongo... Kumbuka hakuna mbongo anayemiliki gari mbovu wote gari zao ziko stable na hazili mafutaHizi Ruminion naziona nyingi kweli cku hizi ubora wake katika nyanja mbalimbali ukoje?
kabisa.. . kuna jamaa alisema mtoa ile comment ni mtoto. yaani eti anaona kuulizia gari yenye mbio ni utoto kumbe yeye ndo anaonesha utoto. angeambiwa aende mwanza akiendesha tractor basi au akiendesha bajaji au aende mwanza na passo bila kulala njiani. watu wanataka magari na wengine wanatak amagari yenye speed kubwa.Mtu mzima kuzungumzia fuel economy ni utopolo...
Crown inabidi utumie akili, ukiivamia kichwa kichwa inakuumbua. Dawa ya Crown kama una VW au Audi yenye engine ndogo msubiri sehemu ndefu. Lakini mbio fupi,tuta hapa na pale itakusumbua sana.Sijajua, sina experience nazo hata kidogo. Ila nilimlaza na viatu na Crown yangu
Najua nakosea ila ndo nshzoea.Nakubali kwa 100% mkuu,hata 10 2 position naona nayo ishakataliwa na wataalam.
Hio comment yako nimecheka sana maana najua huyo blaza hua anapenda kuonekana unique kwny vitu vyote so hawezi kubali kama anakosea kwny hilo,hahah.
Everyone has a beautiful wife at home-Arsene Wenger.Hamna gari hapo... Kuigana tu kwa wabongo... Kumbuka hakuna mbongo anayemiliki gari mbovu wote gari zao ziko stable na hazili mafuta
Wewe jamaa umeendesha gari nyingi sana!Sijajua, sina experience nazo hata kidogo. Ila nilimlaza na viatu na Crown yangu
Kijiji kwenu mko vizuri.Kijijini kwetu kama vile wanapishindana kila mtu ana premio.vitoto vidogo vina premio hadi kero hawajui huku mjini premio ni baby walker tu kama baby walker nyingine.
Nb gari zuri mjini muulize mtu ambae hana hata pikipiki.π
Ha ha ha ha ha duh watu mna majibu....nimecheka kwa sauti hadi watu wananishangaa!Mtu mzima kuzungumzia fuel economy ni utopolo...
Hahah yana heshima yake yale mkuu.Uzuri wa zile gani ni nini sasa ? Machoni yanaonekana mazuri, yaani yanatamanisha
Yaan unakuta mtu hana hata nyumba ya tofari ila kapaki premio njee. ni maajabuKijiji kwenu mko vizuri.
we una umri gani? π π πYaan unakuta mtu hana hata nyumba ya tofari ila kapaki premio njee. ni maajabu
Kuna binamu/ kaka yangu ana kijumba kidogo sio cha tofari πchenye vyumba vitatu, ana watoto 6π tunalingana umriππ lakini nje kapaki premio yake.humwambii kitu. kweli gari ni basic need.
Maisha ni kuchagua.
Ukiwa nalo nile watu wanajua una pesa tuuHahah yana heshima yake yale mkuu.
Hapana mkuu hata.Wewe jamaa umeendesha gari nyingi sana!
Vinachanganya chap chap sana. Kuipata 120+ ni chap. Maana kwa mfano kutokea mwanzo wa kijazi hadi mwisho tayari mtu 160 + na hizo zilizobaki huwa naweka reserve, na kutokea usiku hakuna noma, mwisho wa kijazi hadi taa za kivulini 180+ vizuri tu umemaliza na mguu wa kwenye wese hauna kazi tenaCrown inabidi utumie akili, ukiivamia kichwa kichwa inakuumbua. Dawa ya Crown kama una VW au Audi yenye engine ndogo msubiri sehemu ndefu. Lakini mbio fupi,tuta hapa na pale itakusumbua sana.
Swali langu lililenga kati ya hioRumion kuna selection ya engine mbili..1Nz na 2zr..cc 1489 na cc 1790 respectively... premio ina selection ya engine tatu..1zz,1Nz na 1Az..
Hahaha wacha habari zako aiseee unapenda gari ndogo sio...na isiokula mafuta.mmNa mimi sikukwambia tatizo ni mafuta mi naipenda tu rs
Umenistua hili swali niliulizwa kwenye interview wakati nimetoka chuo. Nina miaka sijaulizwa hili swali.we una umri gani? π π π
Unajua maana ya peak? ππππMagari yote yanakimbia, hata VW beetle inakimbia pia. Tofauti ni muda gani inachukua ku-peak.