Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #21
Kama huna mtoto form five na six sisi wengine tuna watoto form five na six hawalipi ada saivi na hayo ndo manufaa ya kodi na tozoWewe ni mwehu kweli. Madeni hayo yameleta tija gani ya kushawishi mtu alipe tozo? Kama lengo ni mradi mradi gani uliokamilika na kuleta tija hadi sahizi ya kumfanyia ahueni mtanzania?
Magufuli alitukamua makende ila hatime safari ya buguruni mwenge ilibadilika toka masaa 3 hadi dakika 25! Hivi ndio vitu vitatupa moyo wa kutoa tozo bila kulalamika.