Spaghetti
Member
- Jan 27, 2016
- 78
- 7,577
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni zikitumika ipasavyo barabara zinajengwa kwa hela yako? Gharama za ada form five na Six zinafidiwa kwa hela yako? Madeni ya mikopo yanalipwa kwa pesa yako?
Kwa iyo dawa za mahospitali unanunua wewe, barabara za tarula unajenga wewe kwa pesa yako, madaraja unajenga wewe kwa pesa yako? Madeni ya mikopo ya nje ikiwemo wa ujenzi wa SGR unalipa wewe kwa pesa yako?
walikopa na hayo madeni ndo yanalipwa sasa so lazima kuwe na tozo ili zipatikane hela za kulipa hayo madeniMbona wengine walijenga barabara na maflyover bila kutoza watu tozo za kijinga?. Unakopa kila siku, unalipwa Kodi, misaada na tozo juu.
ili mradi zote ni mapato ya serikali. Tafsiri kaa nayo tuHivi unajua tofauti ya kodi na Tozo??
Kwani barabara zote zinazojengwa ni mbovu?Hizo barabara mnajenga kama sehemu ya kutakatishia kodi zetu, nyingi zipo chini ya kiwango kwa kwa kushirikiana na wachina corrupt
Ili mpate percent, baada ya mda mashimo kibao.
Sahihi kabisaWatu tunahitaji maendeleo kwa kasi ya 5G, yaani huduma za maji, barabara etc. Hivi karibuni tumeshuhudia utitiri wa magari Morogoro Road, barabara inahitaji kuongezwa ukubwa hivyo fedha zitatoka kwa wananchi wenyewe...maendeleo hayana chama.
Subiri kubwa zaidi zinakuja! Mwigulu si wa mchezo mchezo
Nyingi zake ndani ya mda mfupi zinafumuliwa,toka lini Mchina akajenga barabara.Kwann mnakwepa kampuni za kizungu jibu ni kwa sababu wazungu awataki rushwa ya michezo ya wanasiasa wao wanajali CV kupitia standard kwa kujenga barabara imara Ili imtangazie market kesho wapate Kazi zingine kimataifa, Mchina anaangalia pesa ya leo. Thus wapo bega kwa bega na tawala corrupt za kiafrica kunufaika kutakatisha kodi za wananchi.Kwani barabara zote zinazojengwa ni mbovu?
Acha porojo, rasilimali tulizonazo bado hazitoshi kumaliza matatizo yetu yote ilhali watu wengi hawalipi kodi.Kwa raslimali zilizopo nchini tele tungepata viongozi wanaofikiri wala wasingekimbizana na mambo ya kukamua kodi watu masikini hata basic needs to mtihani. Kama mkoloni aliweza tuletea maendeleo makubwa Sana nchi pasipo kutegemea kodi sisi tunashindwa vipi.
Mh ngoja nikuache...nikusihi sana ogopa sana biashara uliyowekeza kidogo afu ukapata pakubwa kuliko uwekezaji wake..siku ukipata hasara jua tuu utapoteza faida uliyoipata na mtaji wote ulio wekeza...kila la kheri.ili mradi zote ni mapato ya serikali. Tafsiri kaa nayo tu
Huyu Falla, sijui Fallacy nilishamuweka kwenye ignore list kitambo baada ya kumgundua hana ubongo kichwani.Mjinga mjinga tu na mwenzie sunky cost fallacy
Unajua thamani halisi ya raslimali mfano zilizopo wilaya moja tu zinatosha kufuta kabisa deni la taifa kama zote zikitumika ipasavyo.Acha porojo, rasilimali tulizonazo bado hazitoshi kumaliza matatizo yetu yote ilhali watu wengi hawalipi kodi.
Naunga mkono hoja,huwezi kuwa na jamii ya walalamishi was kila kitu,wanalaumu kila kitu,wanalialia Kwa kila kitu..Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
Vyovyote mtakavyosema ila Rais kazia hapo hapoUtakua umepewa cheo fulani sio bure;!
Hii sio sababu, serikali inaweza kutumia njia nzuri tu kutatua tatizoKwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
kufuta ada form six ni wazo la kijinga,,na lisiloweza kuboresha elimu kama mazingira ya walimu hayajaboreshwa,,jambo la msingi ilikuwa ni kutafuta wanafunzi ambao hawawezi kuendelea na masomo ya kidato cha sita kwa kukosa ada na mahitaji mengine,,Huoni zikitumika ipasavyo barabara zinajengwa kwa hela yako? Gharama za ada form five na Six zinafidiwa kwa hela yako? Madeni ya mikopo yanalipwa kwa pesa yako?
Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.