Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Kama huna mtoto form five na six sisi wengine tuna watoto form five na six hawalipi ada saivi na hayo ndo manufaa ya kodi na tozoWewe ni mwehu kweli. Madeni hayo yameleta tija gani ya kushawishi mtu alipe tozo? Kama lengo ni mradi mradi gani uliokamilika na kuleta tija hadi sahizi ya kumfanyia ahueni mtanzania?
Magufuli alitukamua makende ila hatime safari ya buguruni mwenge ilibadilika toka masaa 3 hadi dakika 25! Hivi ndio vitu vitatupa moyo wa kutoa tozo bila kulalamika.
Wewe amini hivyo. Ila ukwepaji uko pale pale. Mtaambulia sehemu tu. Ila hamtapata zote.Huwezi kukwepa kodi lazima Serikali itaipata tu hela yako kwa hii mikakati kabambe labda ukaishi porini kama Chui
Nina mtoto wa o'level na nachangia hela kama kawaida. Sio big deal sana.Kama huna mtoto form five na six sisi wengine tuna watoto form five na six hawalipi ada saivi na hayo ndo manufaa ya kodi na tozo
Nakwambiaje labda ukaishi porini kama swala au Chui ila pesa yako serikali wataipata tuWewe amini hivyo. Ila ukwepaji uko pale pale. Mtaambulia sehemu tu. Ila hamtapata zote.
Yaani wakati serikali yako inazaidi kutukamua, na sisi tunaumiza zaidi vichwa kugundua namna bora na rafiki zaidi ya kukwepa.
hizo ni ndogo kulinganisha na kodi zinazokusanywa!!!ni asilimia 5% ya kodi yoteeHuoni zikitumika ipasavyo barabara zinajengwa kwa hela yako? Gharama za ada form five na Six zinafidiwa kwa hela yako? Madeni ya mikopo yanalipwa kwa pesa yako?
Sasa we sema sio big deal ila mimi mtoto wangu form six hajalipa ada saiviNina mtoto wa o'level na nachangia hela kama kawaida. Sio big deal sana.
Wakiipata kwa 0.5% nikasave 99.5% ni swala la heri zaidi. Watatia akili tu.Nakwambiaje labda ukaishi porini kama swala au Chui ila pesa yako serikali wataipata tu
Zinakuja njia nyingine utalipa tu kodi acha kudai risiti unapofanya manunuzi serikali itaipata hela yako kwa njia nyingine tuWakiipata kwa 0.5% nikasave 99.5% ni swala la heri zaidi. Watatia akili tu.
hizo ni ndogo kulinganisha na kodi zinazokusanywa!!!ni asilimia 5% ya kodi yotee
Njia nyengine ni kuniua tu wala hamna la ziada ili wakose na hio 0.5% kabisaZinakuja njia nyingine utalipa tu kodi acha kudai risiti unapofanya manunuzi serikali itaipata hela yako kwa njia nyingine tu
πππ Mtaendelea tu kupigwa za uso. Zaidi mtawaumiza wale wanyonge wa Magufuli. Ila siyo wafanyabiashara.Nakwambiaje labda ukaishi porini kama swala au Chui ila pesa yako serikali wataipata tu
Kwa iyo dawa za mahospitali unanunua wewe, barabara za tarula unajenga wewe kwa pesa yako, madaraja unajenga wewe kwa pesa yako? Madeni ya mikopo ya nje ikiwemo wa ujenzi wa SGR unalipa wewe kwa pesa yako?Atuelezee 95% ya kodi inafanya nini chenye tija?
Subiri kubwa zaidi zinakuja! Mwigulu si wa mchezo mchezoπππ Mtaendelea tu kupigwa za uso. Zaidi mtawaumiza wale wanyonge wa Magufuli. Ila siyo wafanyabiashara.
Tutaendelea tu kucheza ule mchezo wa paka na panya mpaka kieleweke.
Tatizo la hawa jamaa huwa wanajiona wana akili sana. Yaani wewe uhangaike juani, hela ukope benki kwa masharti magumu ya kuwekea dhamana ya mali isiyo hamishika!Atuelezee 95% ya kodi inafanya nini chenye tija?
Huyu ni Daktari wa tozo tu! Akili ya kuimarisha uchumi, kutengeneza mazingira bora kwa wafanyabiashara kulipa kodi rafiki, na kwa hiyari! Hana!Subiri kubwa zaidi zinakuja! Mwigulu si wa mchezo mchezo
indeedAtuelezee 95% ya kodi inafanya nini chenye tija?
Dawa ni hio hio hakuna chengine. Mpaka siku ambapo wataamua kutoa rekodi za makusanyo ya tozo.. Sahizi hawatoi sababu wanaiba sana hela humo.Tatizo la hawa jamaa huwa wanajiona wana akili sana. Yaani wewe uhangaike juani, hela ukope benki kwa masharti magumu ya kuwekea dhamana ya mali isiyo hamishika!
Halafu faida mgawane pasu kwa pasu! Huku wenyewe wakiwa kwenye viyoyozi na mavitambi yao! Yaani ni mwendo tu wa kukwepa.
Kwanza kodi imeanza kulipwa karne hii? Au mpagani wewe? Husomi hata Biblia na Quran?Tatizo la hawa jamaa huwa wanajiona wana akili sana. Yaani wewe uhangaike juani, hela ukope benki kwa masharti magumu ya kuwekea dhamana ya mali isiyo hamishika!
Halafu faida mgawane pasu kwa pasu! Huku wenyewe wakiwa kwenye viyoyozi na mavitambi yao! Yaani ni mwendo tu wa kukwepa.
Taratibu utakubali tu! Habari ya chato lakini?Naungana na raisi, Kodi lazima ikusanywe japokuwa mtoa mada HAUNA AKILI HATA KIDOGO