Hata enzi za Mkoloni, Wazee wetu hawakulipa kizembe tu yale makodi kandamizi! Na hata Serikali ya Mkoloni ilipotumia nguvu, bado haikufanikiwa kivile.Kwanza kodi imeanza kulipwa kernel hii? Au mpagani wewe?
Wewe utakuwa Mrundi siyo Mtanzania.Tulipe Kodi wanunulie Magari ya kifahari ambayo kila mwaka wanatumia zaidi ya bilioni 500!Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
Hebu nipe takwimu ni wanafunzi wangapi walishindwa kuendelea na kidato cha 5 kwa sababu ya ada.Kama barabara hazijengwi na kama wanafunzi wanasoma kwa kulipa ada hadi form six basi kweli kodi zinachezewa
Ongea vingine lkn form 5 na 6, kisiwe kichaka cha tozo kama wako serious na elimu watoe mikopo 100% kwa wabafunzi wa vyuo vikuu hapo kweli tutaona tozo zetu zinafanya kazi.Badala yake wanaenda kujilipa maposho makubwa.Huoni zikitumika ipasavyo barabara zinajengwa kwa hela yako? Gharama za ada form five na Six zinafidiwa kwa hela yako? Madeni ya mikopo yanalipwa kwa pesa yako?
kwa hiyo kwako form 5 na 6 kusoma bure sio big deal?Ongea vingine lkn form 5 na 6, kisiwe kichaka cha tozo kama wako serious na elimu watoe mikopo 100% kwa wabafunzi wa vyuo vikuu hapo kweli tutaona tozo zetu zinafanya kazi.Badala yake wanaenda kujilipa maposho makubwa.
Nenda wizara ya elimu utapewaHebu nipe takwimu ni wanafunzi wangapi walishindwa kuendelea na kidato cha 5 kwa sababu ya ada.
Basi tulia! Utalipa tuHata enzi za Mkoloni, Wazee wetu hawakulipa kizembe tu yale makodi kandamizi! Na hata Serikali ya Mkoloni ilipotumia nguvu, bado haikufanikiwa kivile.
Sasa kama Mababu na Mabibi zangu walikwepa kodi kutoka kwa Mkoloni mweupe, mimi ni nani mpaka niache kukwepa kodi za aina ile ile kutoka kwa Mkoloni Mweusi?
Tupe uthibitisho kuwa iyo ni 5% tuAtuelezee 95% ya kodi inafanya nini chenye tija?
Watu tunahitaji maendeleo kwa kasi ya 5G, yaani huduma za maji, barabara etc. Hivi karibuni tumeshuhudia utitiri wa magari Morogoro Road, barabara inahitaji kuongezwa ukubwa hivyo fedha zitatoka kwa wananchi wenyewe...maendeleo hayana chama.Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
Muongo huyo hana mtoto wala hata viatu hana anakazania kutetea ujinga.Nina mtoto wa o'level na nachangia hela kama kawaida. Sio big deal sana.
Mjinga mjinga tu na mwenzie sunky cost fallacyMuongo huyo hana mtoto wala hata viatu hana anakazania kutetea ujinga.
kama anaenda dukani na hadai risiti hakuna budi acha tu abebeshwe mzigo
Hizo barabara mnajenga kama sehemu ya kutakatishia kodi zetu, nyingi zipo chini ya kiwango kwa kwa kushirikiana na wachina corruptKama barabara hazijengwi na kama wanafunzi wanasoma kwa kulipa ada hadi form six basi kweli kodi zinachezewa
Hivi unajua tofauti ya kodi na Tozo??Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
Wakati mwingine mjifunze kukaa kimya bila kuandika takataka.Kwa namna nikienda kwenye maduka ninavyoona Wafanyabiashara wanafanya mauzo bila kutoa risiti na Wananchi wananunua bidhaa bila kudai risiti napenda kusisitiza, Mama yangu Samia kazia hapo hapo.
Nchi inahitaji kodi ili huduma za maendeleo ziweze kutolewa na kama wananchi hawako tayari kushiriki kwenye njia za kawaida kabisa katika kuhakikisha wanalipa kodi stahiki ili nchi ipate mapato basi njia hizi zingine kama kuweka kodi kwenye miamala ya kibenki hazina budi kutumika ili tupate mapato
Niliandika uzi humu kwa namna gani Watanzania hawajali suala la kuhakikisha wanalipa kodi ili kuhakikisha nchi yao inapata mapato kwa ajili ya miradi ya maendeleo. Leo hii mfano mdogo tu mtu kwenye duka ana bidhaa zenye thamani ya milioni zaidi ya 5 au 10 ila hana mashine ya efd, kama anayo mashine basi kaiweka uvunguni imejaa vumbi anauza bidhaa za mamilioni mwezi mzima ila hakuna hata risiti anayotoa.
Kwa wananchi pia, pamoja na matangazo kibao ya TRA kwenye radio na television kuwa wanaponunua wadai risiti ila unamkuta mtu anafanya manunuzi na hajali kama anatakiwa kudai risiti ili nchi ipate mapato kwa shughuli za maendeleo.
Siku ya mwisho wanaishia kuumizwa wafanyakazi kwa kukatwa kwenye mishahara yao kwa sababu wananchi hawataki kutimiza wajibu wao kwenye kulipa kodi
With wangu, Rais wangu Mama Samia usicheke na nyani utavuna mabua, wanataka bima ya afya kwa wote, elimu bure hadi form six, madaraja yajengwe, barabara zijengwe sasa wasipolipa kodi utapata wapi hela za kufanya yote hayo?
Kazia hapo hapo Mama yangu!
Unadhani hayo madeni ya hizo hela zinazokopwa yanalipwa na yatalipwa kwa pesa gani wakati hutaki kushiriki vizuri katika kulipa kodi ili nchi ipate mapato?