Tozo Mpya: Kwa tabia za Watanzania, Rais Samia kazia hapohapo

kwa hiyo kwako form 5 na 6 kusoma bure sio big deal?
ni wazo la hovyo yaani mwanafunzi ashindwe kuendelea na masomo kwa kukosa ada ya tsh. 70 elfu na aweze kulipa michango inayozidi tsh. 150k ,,,kwa mwaka? wangepiga sensa ya watoto walioshindwa kuendelea na msomo kwa kukosa ada na michango ili walipiwe vyote,,,napo wangepatikana wachache fedha nyingine zingepelekwa kuboresha miundombinu ya shule ,,,

Haiingii akilini mtua aweze kulipa michango akose ada,,anayeshindwa kuendelea na msomo kwa kukosa ada ina maana hata ukimlipia atashindwa kuendelea na masomo maana michango inagharimu fedha nyingi kuliko ada.
 
Watu kama we ndo wanasababisha kiongozi wetu aonekane kama "mama wa Kambo"wakat hata hayuko Ivo!!!

Aliwaambia kusanyeni Kodi Kwa "AKILI", ndo kikomo Cha akili zenu?

Tuanze kupendekeza mbadala wa mawaziri wa Fedha, Nishati, habari, ardhi nk.

Mwigulu, nape, marope warudi wakapige mishe za kitapeli pale Lumumba!!!
 
Hivi unajua kuwa GSMs ndio kinara wa ukwepaji kodi na hata hao viongozi wako wanajua

Wastani wa kwenye kila kontena kumi za GSMs zinazolipiwa kodi ni mbili tu
Leta ushahidi kabla ya kuanza kutaja taja majina ya watu hapa
 
Vyovyote mtakavyosema ila Rais kazia hapo hapo
Hizo Kodi za mihamala ya kibenki inaenda kupeleka kukwama Kwa Uchumi maana mabenki yatakosa mitaji watu wataficha pesa nyumbani.

Aliwaamini mwigu na naibu wake wakusanye Kodi Kwa "AKILI".

Kwahyo hapo ndo mwisho wa kufikiri Kwa Mwigulu?

Mpesa walivyoweka tozo mzunguko wa pesa umevurugwa sana na Ajira pia, mnaenda kuhujumu na taasisi za kifedha!!!!

Kwa jitihada hizo lazima Uchumi UGOTE Mahali. Very soon.
 
Yaani nyie huwa ni wajinga Sana,wanaopendekeza hizo rates ni wataalamu wa uchumi,fedha na biashara huwa hawakurupuki..

Wakati miamala ya simu inawekwa mlisema kwamba biashara za m pesa zitakufa,watu watapanga foleni banks na kusema kwamba mtatuma pesa kwenye mabasi..

Kwa kuonesha mlivyo mburula volume of transactions ziliongezeka kama kawaida na hakuna foleni huko banks zilizotolewa..

Ni taahira tuu ndio anaweza acha kuweka banks pesa Kisa kwenye mil.3 watakata elfu 4 na Sasa sijui utaweka ndani Ili uje unyongwe vizuri na wezi..

Hii ramli hakuna kitakachofanyika na banks zitapata faida mara dufu kama zilivyopata last time..Tafuteni kiki nyingine..
 
Napendekeza niungwe mkono, pesa tutunze ndani, tukatoe pesa zetu turudi kama zamani.

Akili ndogo kama mwigu anapoelekea ataamrisha pesa za akiba za wananchi zikatwe Kwa nguvu Ili kulipa mikopo ya mchongo.

Uchumi lazima UKWAME, lazima!!!!
 
Napendekeza niungwe mkono, pesa tutunze ndani, tukatoe pesa zetu turudi kama zamani.

Akili ndogo kama mwigu anapoelekea ataamrisha pesa za akiba za wananchi zikatwe Kwa nguvu Ili kulipa mikopo ya mchongo.

Uchumi lazima UKWAME, lazima!!!!
Haitawezekana hata siku moja,pesa zinazotunzwa nyumbani hata 10% haifiki maana pia ni kinyume na sheria za uhujumu uchumi ku hold pesa Nje ya mzunguko.
 
Haitawezekana hata siku moja,pesa zinazotunzwa nyumbani hata 10% haifiki maana pia ni kinyume na sheria za uhujumu uchumi ku hold pesa Nje ya mzunguko.
Ndo pesa zitafichwa nyumbani, chini ya migomba, kwenye vyungu, chini ya ardhi nk,

Niungeni mkono Tuwakwamishe wasio na akili.

Mwigu hatoboi, hatoboi, hatoboi, mwaka mrefu sana kwake!!!!
 
Ndo pesa zitafichwa nyumbani, chini ya migomba, kwenye vyungu, chini ya ardhi nk,

Niungeni mkono Tuwakwamishe wasio na akili.

Mwigu hatoboi, hatoboi, hatoboi, mwaka mrefu sana kwake!!!!
Haipo Hiyo,subiria utapata majibu au uwe unapita pita banks uone kama hakuna watu πŸ˜†πŸ˜†
 
Nakuonea huruma...ipo siku nafsi yako itakusuta sana..na pengine hata majuto yapo ndan ya nafsi yako..punguza kibri..majivuno...ujuha...dhulma..jaribu kuwa na utu..hakuna aliyekamilika na kila mtu anastahili haki yake either kwa kujua au kwa kutokujua....wapeni elimu ya mlipa kodi...msiwaonee baada ya kuwatengenezea fikra kuwa TRA ni taasisi ya kuogopeka...waambien faida ya kulipa kodi..msikae tuu maofisin..tengenezeni urafiki na mlipa kodi na sio uadui ni kujiona ninyi miungu watu....

Tafuteni vyanzo vingine vya mapato...sio lazima tozo tuu...hizi hazijachagua wa kijijin wala wa mjini...zimeleta maumivu kwa wote bila kujali huyu ni wakipato cha chini au kipato cha juu...

Vimeleta chuki, hasira, malalamiko, na kama huamin fanya utafit mdogo tuu...kwenye shop za mitandao ya sim...yan imefika sehem pesa yako mwenyewe ipo bank/ kwenye sim lakin hujui thaman yake ikiwa mkonon(cash at hand) unakuta mtu anauliza nina sh 10,000 huku inatoka sh ngap? Akitajiwa tu toa kias flan...basi ataguna..nyuso zitabadilika yaan dah..

Labda nikupe mf mdogo tu..kuna siku moja ya ofisi yangu walinifanyia makadirio makubwa sna ya kodi...sikujua ni kwa nn..yaan waliipaisha sna...nikapokea ile form thn..sikuifanyia chochote na wala sikulipa...wakanipigia sim na kutuma barua ya mim kuwafata ...sikwenda pia..nikasubir mpaka makadirio ya mwaka mwingine nikawafata...

Nilikaa nao zaid ya masaa 2 na nikawaambia naenda funga biashara mpaka mniambie ni kigezo gan mlichokitumia kupaisha kodi namna hii...yaan ni sawa uwe unalipa 100,000 kwa kila baada ya miez mitatu afu wakupangie uwe unalipa 250,000 ...

Tulifika muafaka tu baada ya wao kuona nina uwelewa na pale tukafata baadhi ya sheria mambo yakawa sawa...sasa najiuliza kwa mtu ambae hafaham haki zake??

Kwa kumalizia kodi ndio uti wa mgongo wa Taifa lolote pale duniani...tusikusanye kwa mabavu...zitumike vizur kwa ustawi wa Taifa..elimu kwa mlipa kodi ni muhimu zaidi...tuwe wabunifu vyanzo vingine vya mapato...malimbikizo ya kodi yanashusha morali kwa mlipa kodi...nk
 
Inisute kwa sababu nimeunga mkono tozo au? πŸ˜†πŸ˜†.

Wajinga Sana nyie,mungekuwepo enzi baba zenu wanatandikwa bakora hawajalipa Kodi na hawajaenda kwenye maendeleo mungesemaje?

Ujinga wenu ndio unawatesa ila ukijua kwamba ni wajibu wako kutoa tozo na Kodi stahiki Ili upate huduma Wala huwezi ona kuna shida unless pesa inatumika ndivyosivyo..

Hii ni serikali na Serikali sio individual vinginevyo ujinga ni mzigo na mtu mjinga kama huelewi unaswagwa kama Punda..

Kodi na tozo nk hutaki kutoa ila unataka ukienda hospital ukute dawa,ukute nesi,ukienda shule ukute dawati,madarasa,Mwalimu nk..

Mwisho jionee huruma wewe ambae unalalama na kulaumu na shida zako unataka uwape lawama wengine.
 
Nakuelewa sna mkuu wetu mjumbe wa bodi hii

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kila la kheri mkuu...Nenda mama G kawatendee haki wananchi...sipendi uonevu...laana isije kwa mtoto...alisikika one b..kwa mama g.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..
 
Napendekeza niungwe mkono, pesa tutunze ndani, tukatoe pesa zetu turudi kama zamani.

Akili ndogo kama mwigu anapoelekea ataamrisha pesa za akiba za wananchi zikatwe Kwa nguvu Ili kulipa mikopo ya mchongo.

Uchumi lazima UKWAME, lazima!!!!
Hata ukitunza ndani serikali itaweka namna ya kupata kodi na tozo zake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…