Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1684248635468.png

NA BADO KUNA KODI YA STOO

Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,

Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
 
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kuanza kuibeba ndoo,

Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?

Kwa kila thamani ya bidhaa inayofikia milioni 1 kuna tozo za asilimia 62.25!!

View attachment 2624191

0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 0.6225P
Tuko kwenye maridhiano

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just imagine wafanyabiashara wanatoka mwanza kwenye Kampala kununua mzigo ulotoka China na Uturuki.

Huu ujinga unasababishwa na Bunge letu tukufu kutokana na Akina la saba. TRA tunawaonea (japo wana makandokando yao) lakini shida ilipo tunapajua
 
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
 
Yanga / Simba ikitwaa ligi na kushiriki caf mawazo yanayeyuka.

vijana wakifika vileleni kwao washamaliza maisha.
 
Gari tu kodi ni zaidi ya 50% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Rekebisha kwenye gar mkuu.
Tozo/Kodi kwenye magari ni 100%-120%.
Yaani kama gari umenunua milion 9 hadi kufika bandarini, lakini utatumia milioni 9-12 kuitoa bandarini na kuiingiza road.
 
View attachment 2624250

0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%

Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,

Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Mpka Siku Akili Iwakae Sawa Hizo Kodi Mlipe Tu Tena Nasema Mlipe
 
Rekebisha kwenye gar mkuu.
Tozo/Kodi kwenye magari ni 100%-120%.
Yaani kama gari umenunua milion 9 hadi kufika bandarini, lakini utatumia milioni 9-12 kuitoa bandarini na kuiingiza road.
Niliposikia nilikata tamaa. Kuna jamaa yangu aliagiza gari la 14m huko mbele.

Hadi lilipofika mikononi analiendesha, ametumia 16m hivyo kumfanya atumie 30m.

Tutaishia kununa wanayoacha wenye nguvu.
 
Back
Top Bottom