Mwanamena
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 1,107
- 1,360
Genge la walanguzi in the house. Tulionywa na kuambiwa tuwakwepe kama ukoma. Haya ndiyo matokeo yake.Zinaingia mifukoni mwa wahuni wachache wenye vyeti vya masomo yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Genge la walanguzi in the house. Tulionywa na kuambiwa tuwakwepe kama ukoma. Haya ndiyo matokeo yake.Zinaingia mifukoni mwa wahuni wachache wenye vyeti vya masomo yao
Mi mpk leo nashindwa kuzielezea akili za waTz yani ziko hovyo hovyo kweli ....
Kwa tabia ya bwana yule toka mdogo, alipenda sana ukubwa. Nasikia hata kule alikoanzia, aliharibu nabkutoroka kwa mguu.Genge la walanguzi in the house. Tulionywa na kuambiwa tuwakwepe kama ukoma. Haya ndiyo matokeo yake.
Siyo tunarogwa au elimu duni, bali mazingira yanalazimisha.Hatujitambui na elimu duni katika kila nyanja, Hayo ndiyo matatizo makubwa tuliyonayo sisi Watz, tunalogwa na Mwenge.
Bwana yule hatari sana aisee.Kwa tabia ya bwana yule toka mdogo, alipenda sana ukubwa. Nasikia hata kule alikoanzia, aliharibu nabkutoroka kwa mguu.
Alipoona mzee ni kikwazo, alipita naye kwa upepo uliokuwepo.
Amenogewa na ile style, anapita nao hivohivo.
Hakuna atakayeongoza kwa amani bila kuondoka kwake.
Anaitafuna nchi vibaya.
ikiwa 10% ndiyo ya serikali, hizo kodi nyingine huwa zinakwenda wapi?Na hapo 10% tu ya serikali
Ndio maana Tz maisha ni aghali!View attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Na kweli hatujui sisi twajua kupakiana mikongo!,kutembea namafuta nyuma ya sikio tayari kwa kazi!.. na Sasa nasikia imekuja na asali ndo nipo natafiti tunaitumiaje! Lipo jitu litakuja kung'atwa na nyuki!..😂Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Halafu hii VAT sasa si inakuwa kama double taxation maana navyojuwa VAT ni pale bidhaa inavyonunuliwa kwa mtu wa mwisho, na hili sio shida ya TRA ni ya wale waliopanga haya nakutunga sheria maana mfanyakazi wa TRA anachoweza kucheza nacho ni yale makadirio tu lakini akiweka number makato yote yanakuja na hii ndio shida nyingine kwenye makadirio, pamoja na haya yote kodi ni kubwa sana tena sana bado sijui kodi za manispaa sijui halmashauri sijui mazingira sijui usalama hapo takataka yaani mambo ni mengi kweli ukija huko kwenye mafuta unawakuta mpaka EWURA wa nini wakati wanalipwa mishahara na serikali muhimu ni vichaka vya kukusanya tu yaani ni balaa kama unafanya biashara halali utoboi ni lazima na wewe ujiongeze ndio haya ya rushwa na kukwepa kuna mfanya biashara wa mafuta alisema bila kujiongeza hutoboi lazima gari mbili halali moja haramu vinginevyo utafunga kituo na hawa wafanya biashara contoiner 2 halali moja pitisha tu maana ndio faida yao vinginevyo watafunga biashara tu. Mwigulu na team yake ni janga sheria za kodi ni lazima zipitiwe na makato yote isizidi 25% ya gharama ya mzigo itachochea biashara kwa wingi na pia kuongeza biashara kukua na kujenga matajiri wengi maana ni afya kwa nchi, kuwa na watu maskini hawakui ni kudumaza nchi pia. Nitatoa mfano mdogo huko nje mfano Voda wanakupa simu mpya Iphone ila sharti simu ile inakuwa lock inatumia line ya voda kwa miaka miwili matokeo Iphone wanauza sana na voda wanapata sana huku kwetu hata vitu vidogo kama hivi tu tunashindwa kuna wale Azam badala ya kutoa bure ving'amuzi ili waongeze watumiaji na wao wanufaike na virushi baada ya muda inawalipa gharama zote na wateja wamekamata lakini wanauza kitu bei kubwa warudishe gharama siku moja, natoa mifano hii ndio serikali badala ya kuweka kodi ndogo ili volume ya biashara iwe kubwa na kuvutia na kukua na siku za mbeleni watakusanya mapato kama haya lakini kubwa wananchi kuwa na maisha bora maana ndio lengo. wamechemka kwenye tozo za simu wamepunguza watumiaji badala ya kutanua wigo kwa matokeo yasiokuwa chanya ukuaji mdogo kwa faida za muda mfupi.View attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Gari tu kodi ni zaidi ya 100% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
hata ulilonunua hapa hapa lilitozwa kodi kuaawa plus faida ya mfanyabiasharaHuu ujinga ulifanya nishindwe kuagiza gar kali nikanunua hapa hapa
Wabunge wakuwe bila kuguliwa hiyo ndio raha yakeJust imagine wafanyabiashara wanatoka mwanza kwenye Kampala kununua mzigo ulotoka China na Uturuki.
Huu ujinga unasababishwa na Bunge letu tukufu kutokana na Akina la saba. TRA tunawaonea (japo wana makandokando yao) lakini shida ilipo tunapajua
Ndiyo maana mabeberu hutuona wa africa ni punguaniView attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Wanagawanaikiwa 10% ndiyo ya serikali, hizo kodi nyingine huwa zinakwenda wapi?
Kwahiyo mnaiiga Mombasa sio ?Hata ukitumia bandari ya mombasa bado huwezi kwepa kodi, sytems za kodi zipo intergreted hadi mipakani kwa sasa.
Infact mombasa ni bandari ghali kuliko Dar in terms of wharfage port charges n.k ila ni efficient pia kuliko dar port.
Ndio maana hawafikirii kuboresha na kuanzisha viwandavSerekali imeaamua kua Kama wale Madalali,unamwambia Nyumba yako unauza M50,yeye anauza M120, anakupa 50 yako na anabaki na 70, alafu bado anataka umpe Cha juu,na bado tena anageuka kwa mnunuzi nae pia ampee chake Cha kumuonesha mjengo! Yaani hapo anacheza na akili zenu tu!! Mwisho wa siku yeye dalali ndiyo kala pesa ndefu sana! TRA inakula pesa ndefu kuliko hata Mjapani aliyetengeneza hiyo gari!!
Haha hahaaa htr snNa kweli hatujui sisi twajua kupakiana mikongo!,kutembea namafuta nyuma ya sikio tayari kwa kazi!.. na Sasa nasikia imekuja na asali ndo nipo natafiti tunaitumiaje! Lipo jitu litakuja kung'atwa na nyuki!..[emoji23]