Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

View attachment 2624250

0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%

Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,

Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Ndio mnashtuka sasa!
 
Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.
Ndio maana kuwa kiongozi wa TRA hata felia wa kidato cha NNE anaweza tu.
Kuwa meneja wa Tanessco hata darasa LA saba anaweza tu,kuwa waziri wa fedha,hata mtu yeyote anayejua tu kiingereza cha kuingea na wazungu anaweza.Kwani ni kuongeza kodi,maji yakipungua kata umeme,wabunge wakihoji matumizi mabovu,wajibu kwa kiingereza tu hata kama wewe hukijui pia Trab na Trat
 
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Tatizo elimu
 
Majambazi yanaiba kwa kutumia sheria ngumu kwa Tozo zote hizo bado wanakamatana risiti mtaani yaani TRA pia wanafanya biashara kwa kuzurumu mali za watu kwa mgongo wa sheria hizo hizo na hawataacha maana biashara ya dhuluma ipo kwenye damu maana wameshauri kuhusu hizi kodi ili wachukue mali za watu bure hasa magari..
 
Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.
Ndio maana kuwa kiongozi wa TRA hata felia wa kidato cha NNE anaweza tu.
Kuwa meneja wa Tanessco hata darasa LA saba anaweza tu,kuwa waziri wa fedha,hata mtu yeyote anayejua tu kiingereza cha kuingea na wazungu anaweza.Kwani ni kuongeza kodi,maji yakipungua kata umeme,wabunge wakihoji matumizi mabovu,wajibu kwa kiingereza tu hata kama wewe hukijui pia Trab na Trat
Tanzania sio ya kuongozwa na yule Waziri kama kweli wanataka Maendeleo ya kweli...
 
Ukitoa taifa ka Israel ambalo ndio linaongoza kwa utitiri wa kodi na highest rates za kodi taifa linalofatia ni Tanzania. Israel imekuwa ivo kwa sababu ni Taifa lililopo vitani tangu na tangu enzi na enzi. Je Tanzania ni nchi iliopo vitani au ni ukilaza wa viongozi wetu na sisi wananchi wa tz
 
Nani ataanzisha huo mjadala?!
Mkiambiwa chagua akili mbadala nao wawemo mjengoni hamtaki, mnang'ang'ania tu uzao wa panya🙄
Wacha mwigulu nchemba & Co. wafanye kufuru, asiyetaka Burundi ipo wazi..
Acha kulia lia we afande rama. Kula chuma hicho

Gari tu kodi ni zaidi ya 100% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Hata ukitumia bandari ya mombasa bado huwezi kwepa kodi, sytems za kodi zipo intergreted hadi mipakani kwa sasa.
Infact mombasa ni bandari ghali kuliko Dar in terms of wharfage port charges n.k ila ni efficient pia kuliko dar port.
 
Rekebisha kwenye gar mkuu.
Tozo/Kodi kwenye magari ni 100%-120%.
Yaani kama gari umenunua milion 9 hadi kufika bandarini, lakini utatumia milioni 9-12 kuitoa bandarini na kuiingiza road.
Serekali imeaamua kua Kama wale Madalali,unamwambia Nyumba yako unauza M50,yeye anauza M120, anakupa 50 yako na anabaki na 70, alafu bado anataka umpe Cha juu,na bado tena anageuka kwa mnunuzi nae pia ampee chake Cha kumuonesha mjengo! Yaani hapo anacheza na akili zenu tu!! Mwisho wa siku yeye dalali ndiyo kala pesa ndefu sana! TRA inakula pesa ndefu kuliko hata Mjapani aliyetengeneza hiyo gari!!
 
asilimia 70 tunashinda vijiweni kunishana simba na yanga, Hatufahamu mifumo ya serikali inaendaje. wacha tupigwe tu
+1
Tungekuwa makini hii miswada inayopelekwa bungeni na Tra , tungeweza kuijadili kabla haijapitishwa kuwa sheria .
Wafanyabiashara kariakoo wamejua juzi kuwa kusajili stoo ni mandatory, sidhani kama kuna mfanyabiashara aliwahi kujua au kuona huo mswada kabla haujapitishwa kuwa sheria , wamestukia tu sheria . Sababu hatufatilii!
 
View attachment 2624250

0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%

Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,

Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?

Hata kusoma inauma, inauma sana, Wa Tanzania tunateseka sana kwa kweli.
 
Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.
Ndio maana kuwa kiongozi wa TRA hata felia wa kidato cha NNE anaweza tu.
Kuwa meneja wa Tanessco hata darasa LA saba anaweza tu,kuwa waziri wa fedha,hata mtu yeyote anayejua tu kiingereza cha kuingea na wazungu anaweza.Kwani ni kuongeza kodi,maji yakipungua kata umeme,wabunge wakihoji matumizi mabovu,wajibu kwa kiingereza tu hata kama wewe hukijui pia Trab na Trat
Ukisema wasomi wajinga wajinga unakosea !!! Hawa wasomi wamekaa darasani miaka mingi na wengi wana ufaulu wa juu kabisa . Nadhani niseme wasomi wengi wetu ni clueless,
Tatizo kuu ni kukariri kwenye elimu yetu , matokeo yake tunazalisha viongozi wasio msaada na elimu yao.
 
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Kenya hawana lile litaa lenye zindiko la kupumbaza Watanzania linalokimbizwa kila mwaka eti kuleta matumaini pasipo na matumaini! [emoji706][emoji706]

Ubepari uliwaamsha mapema wakati huku tukiimba kila binadamu ni sawa na zidumu fikra sahihi wao tayari wanapambana...kama mbwai na iwe mbwai tu....

Ni wababe. Wanajiamini. Hawaogopi!
 
Back
Top Bottom