Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
asilimia 70 tunashinda vijiweni kunishana simba na yanga, Hatufahamu mifumo ya serikali inaendaje. wacha tupigwe tu
 
Just imagine wafanyabiashara wanatoka mwanza kwenye Kampala kununua mzigo ulotoka China na Uturuki.

Huu ujinga unasababishwa na Bunge letu tukufu kutokana na Akina la saba. TRA tunawaonea (japo wana makandokando yao) lakini shida ilipo tunapajua
La saba unawakosea mule bungeni kuna PhD kobao na Masters za kutosha tu.
 
Niliposikia nilikata tamaa. Kuna jamaa yangu aliagiza gari la 14m huko mbele.

Hadi lilipofika mikononi analiendesha, ametumia 16m hivyo kumfanya atumie 30m.

Tutaishia kununa wanayoacha wenye nguvu.
Kweli kabisa. Angalau kama ni Kodi 14 angechajiwa another 4M to make 18M t9 be fair.

Cha ajabu hizo kodi sasa zinapigwa na wajanja na ukisema sema sana wana kurestisha in Pisi
 
Nchi hii wananchi tuna kijifanya tuko busy for nothing, Kuna mambo mengi Sana ya msingi hatujui na hatutaki kujua na wanao jua hawatilii maanani.
Na tunaamini shida ni sehemu ya maisha yetu bila kujali shida hiyo imesababishwa na nn au na nani
 
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Ogopa sana taifa ambalo watu wake kipaumbele namba moja ni K na Dyudyu hata Yesu arudi hilo taifa litakuwa hivyo hivyo.
 
Uchumi wa Mh Lameck Madelu wa Matai yenye bendera ya Tozonia[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Gari tu kodi ni zaidi ya 100% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
mh kwa bandari ya Zanzibar uwongo labda Kenya
 
Back
Top Bottom