sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Tuko kwenye maridhianoKwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kuanza kuibeba ndoo,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Kwa kila thamani ya bidhaa inayofikia milioni 1 kuna tozo za asilimia 62.25!!
View attachment 2624191
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 0.6225P
Njia za panya hazikwepeki kwa huu unyonyajiGari tu kodi ni zaidi ya 50% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Gari kodi inafika 83% ya CIF. Ujinga mtupuGari tu kodi ni zaidi ya 50% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Gari kodi inafika 83% ya CIF. Ujinga mtupu
Yanga / Simba ikitwaa ligi na kushiriki caf mawazo yanayeyuka.Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Rekebisha kwenye gar mkuu.Gari tu kodi ni zaidi ya 50% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Mpka Siku Akili Iwakae Sawa Hizo Kodi Mlipe Tu Tena Nasema MlipeView attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
...Elimu!...Elimu!....Elimu !... Elimuu![emoji35][emoji35][emoji35]Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Niliposikia nilikata tamaa. Kuna jamaa yangu aliagiza gari la 14m huko mbele.Rekebisha kwenye gar mkuu.
Tozo/Kodi kwenye magari ni 100%-120%.
Yaani kama gari umenunua milion 9 hadi kufika bandarini, lakini utatumia milioni 9-12 kuitoa bandarini na kuiingiza road.
Tataizo hapa ni BTTanzania ya Machawa na Walamba Asali.