Ndio mnashtuka sasa!View attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Watz au watawala wa TzMi mpk leo nashindwa kuzielezea akili za waTz yani ziko hovyo hovyo kweli ....
Bunge la TanzaniaBaraza la Taifa
Na mi nakazia walipe, serikali ipate pesa ya kuagiza ma V8 ya kutembelea waheshimiwa, hayo hayalipiwi kodi ujue.Mpka Siku Akili Iwakae Sawa Hizo Kodi Mlipe Tu Tena Nasema Mlipe
Mwigulu katulia tulii, kauli yake ile ile ''asietaka ahamie Burundi''Mjadala mkubwa wa kitaifa ufanyike, hizi haziwezi kuwa kodi. Serikali haitendei haki wananchi
Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.View attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Tatizo elimuUnakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Tanzania sio ya kuongozwa na yule Waziri kama kweli wanataka Maendeleo ya kweli...Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.
Ndio maana kuwa kiongozi wa TRA hata felia wa kidato cha NNE anaweza tu.
Kuwa meneja wa Tanessco hata darasa LA saba anaweza tu,kuwa waziri wa fedha,hata mtu yeyote anayejua tu kiingereza cha kuingea na wazungu anaweza.Kwani ni kuongeza kodi,maji yakipungua kata umeme,wabunge wakihoji matumizi mabovu,wajibu kwa kiingereza tu hata kama wewe hukijui pia Trab na Trat
Ulisev niniHuu ujinga ulifanya nishindwe kuagiza gar kali nikanunua hapa hapa
Nani ataanzisha huo mjadala?!Mjadala mkubwa wa kitaifa ufanyike, hizi haziwezi kuwa kodi. Serikali haitendei haki wananchi
Acha kulia lia we afande rama. Kula chuma hichoNani ataanzisha huo mjadala?!
Mkiambiwa chagua akili mbadala nao wawemo mjengoni hamtaki, mnang'ang'ania tu uzao wa panya🙄
Wacha mwigulu nchemba & Co. wafanye kufuru, asiyetaka Burundi ipo wazi..
Hata ukitumia bandari ya mombasa bado huwezi kwepa kodi, sytems za kodi zipo intergreted hadi mipakani kwa sasa.Gari tu kodi ni zaidi ya 100% bado tozo mbalimbali za TPA hii nchi ngumu sana. Ndomana wafanyabiashara sahvi wanatumia bandari ya kenya na Znz
Serekali imeaamua kua Kama wale Madalali,unamwambia Nyumba yako unauza M50,yeye anauza M120, anakupa 50 yako na anabaki na 70, alafu bado anataka umpe Cha juu,na bado tena anageuka kwa mnunuzi nae pia ampee chake Cha kumuonesha mjengo! Yaani hapo anacheza na akili zenu tu!! Mwisho wa siku yeye dalali ndiyo kala pesa ndefu sana! TRA inakula pesa ndefu kuliko hata Mjapani aliyetengeneza hiyo gari!!Rekebisha kwenye gar mkuu.
Tozo/Kodi kwenye magari ni 100%-120%.
Yaani kama gari umenunua milion 9 hadi kufika bandarini, lakini utatumia milioni 9-12 kuitoa bandarini na kuiingiza road.
+1asilimia 70 tunashinda vijiweni kunishana simba na yanga, Hatufahamu mifumo ya serikali inaendaje. wacha tupigwe tu
View attachment 2624250
0.25P + 0.1(1.25P) + 0.18(1.35P) = 62.25%
Kwa kodi hizi za kimafia haziwezi zikaleta maendeleo, ni sawa na kichaa aanetaka kuibeba ndoo kwa kuingiza miguu yake na kujaribu kuibeba,
Na hii mikodi yote iliyokuwepo kuna kipi kipya cha kujitambia kilicholetwa na hizi kodi ? Na bado mnaendelea kuomba mikopo kutoka nje what the hell justifies huu unyama ?
Ukisema wasomi wajinga wajinga unakosea !!! Hawa wasomi wamekaa darasani miaka mingi na wengi wana ufaulu wa juu kabisa . Nadhani niseme wasomi wengi wetu ni clueless,Hii nchi ina wasomi wengi wajinga wajinga sana.
Ndio maana kuwa kiongozi wa TRA hata felia wa kidato cha NNE anaweza tu.
Kuwa meneja wa Tanessco hata darasa LA saba anaweza tu,kuwa waziri wa fedha,hata mtu yeyote anayejua tu kiingereza cha kuingea na wazungu anaweza.Kwani ni kuongeza kodi,maji yakipungua kata umeme,wabunge wakihoji matumizi mabovu,wajibu kwa kiingereza tu hata kama wewe hukijui pia Trab na Trat
Kenya hawana lile litaa lenye zindiko la kupumbaza Watanzania linalokimbizwa kila mwaka eti kuleta matumaini pasipo na matumaini! [emoji706][emoji706]Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..
Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?