Tozo ya laki 6 na elf 20 katika kila milioni 1 ya bei za bidhaa zinazoletwa nchini ni kabali ya mbao

Tunatumia nguvu kubwa sana ku survive! Yaani hata vitu vinavyo pitia hapa kwenda nchi jirani ni rahisi kuliko vinavyofikia hapa
Majirani zetu wanatumia bandari zetu wanatumia magari ya kuanzia 2015 and above. Sisi tunagangana na Carina ya 1999 na inauzwa milioni 20 just amagine!!

Tugome sote.
 
Majirani zetu wanatumia bandari zetu wanatumia magari ya kuanzia 2015 and above. Sisi tunagangana na Carina ya 1999 na inauzwa milioni 20 just amagine!!

Tugome sote.
Yaani inafikirisha sana! Kuna gari hapa bongo tunaogopa kumiliki ila zambia zipo na watu wanadunda nazo kama kawaida! Huko kongo tu balaa!

Hata bidhaa zingine na zinapitia hapa hapa kwetu ila huko kwao ninafuu sana
 
Mkuu usiwalaum sana wasomi ukjikuta mjuaje wanaoanguka papai kwa kutumia gobole au huenda wasomi unao wasemea wanafaidika kwa kupitia izo tozo na kod

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakuja kukuta asilimia 70 ya watanzania hawapo aware na hivi vitu na kibaya zaidi unakuta hawajali!..

Hivi wakenya na sisi tuna tofauti gani mbona wenzetu raia wao wapo smart sana vichwani mwao!!? Sisi huwa tunakwama wapi?
Wanashida sana wale zinawabana ndio maana wanaanza kupata akili. Sisi tupo comfortable sana.
 
Yaani inafikirisha sana! Kuna gari hapa bongo tunaogopa kumiliki ila zambia zipo na watu wanadunda nazo kama kawaida! Huko kongo tu balaa!

Hata bidhaa zingine na zinapitia hapa hapa kwetu ila huko kwao ninafuu sana

Kwani wageni wanachajiwa cost tofauti na sisi pale bandarini?
 



VAT hatozwi mlipakodi.

Ni kodi anayolipa mlaji wa mwisho wa bidhaa au huduma.

Inahitajika elimu uweze kuelewa.

Mfanyabiashara ni wakala wa kukusanya na kuipeleka TRA hivyo tu.

Hata kodi ya ajira PAYE si ya mwajiri bali mfanyakazi ndiye anyekatwa .

Mwajiri ni wakala wa kuikata na kuipeleka serikalini (TRA).
 
Mbona hamuweki wazi huko inje hzo bidhaa mnanunua kwa bei gani? Wekeni wazi.... serikali wanajua ndo maana wanafanya hvo kwani hyo Sheria ya tax imeanza leo si ilikuwepo toka enzi za....
Hiyo kazi unayoitaka ni rahisi.
Ingia beforward chukua CIF price then kaweke kwenye calculator ya TRA utaona kodi unayotunzwa. Halafu fananisha na bei uliyonunulia
 
Kwani wageni wanachajiwa cost tofauti na sisi pale bandarini?
Wale wanachajiwa PORT CHARGES TU na kwa muda maalum na muda huo ukiisha ndio kunakua na ishu za STORAGE hivyo maswala yao mengine yakiKODI yanaenda kuendelea mpakani ambapo kimsingi ndio BANDARI zao mf: mizigo ya zambia bandari yao ni pale TUNDUMA/ NAKONDE, na mizigo ya kongo bandari yao ni KASUMBALESA hivyo huko zambia inapita tu wanalipi njia tu! Hivyo kinachoenda kuleta urahisi kwao no sera zao za kikodi ambazo zina utofauti kidogo na hapa
 
18% sio pesa ya mfanyabiashara anayotakiwa kuilipa TRA bali Mfanyabiashara ni wakala tu wa kuikusanya na kimsingi haimuumizi kivyovyote mfanyabiashara! Hapa ndipo ambapo watu wanajichanganya


NAKAZIA
 
NAMSIKILIZA WAZIRI MKUU HAPA! [emoji2958]
 
Wanajua namba, hawajui hesabu[emoji2957][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani ungesoma nimeandika nini kabla hujajibu, nimesema VAT ni mtu wa mwisho sasa nani mtu wa mwisho? Mlaji ndio analipa VAT rudia kusoma tena nilishoandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…