Tozo za Miamala: Serikali yapunguza viwango kwa 30%. Watoa huduma za simu waridhia kupunguza 10%
Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
 
Mimi tusitafutane pesa yangu natuma kwenye basi kwenda upareni kwa mama,tena kirahisi sana leo nimetuma asubuhi saa saba mama kashapata ,vichenchi vinavyobaki akiba benk ya makabwela ,kama baba yako na mama ni wapare ,unapozaliwa tu una bachelor of economic
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
Unatengeneza tatizo unapiga kadhaa kisha unalitatua kwa kupunguza kidoogo halafu unapongezwa

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
Mataga: Tozo ilipwe serikali ya ccm oyeeee!

Mataga again: Serikali imepunguza tozo, hii ni serikali sikivu.

Mpaka hapo ndio utakua sukuma gang ni watu wa aina gani.
 
"Create opportunities where there is chaos"

Ccm na wabunge wake wamefanga vyote viwili kwa wakati mmoja
 
Back
Top Bottom