The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Usisahau mafuta yamepanda bei.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilitakiwa waiondoe kwa Yule anayetumiwa,mtumaji akatwe tozo,siyo haya mazingaombwe.Hakuna mkate ngumu mbele ya chai.
Hakika mitandao imekuwa ni sauti ya wananchi na si hili Bunge.
Waliohamia Burundi-kama wapo- Waziri awaombe warudi na yeye ikibidi ajiuzulu.
Bunge ni uongo uongo tu, leo ndugai anasema Yesu alitembea na mkewe.....wizi mtupuHakuna mkate ngumu mbele ya chai.
Hakika mitandao imekuwa ni sauti ya wananchi na si hili Bunge.
Waliohamia Burundi-kama wapo- Waziri awaombe warudi na yeye ikibidi ajiuzulu.
True tozo bado kubwa sana...hakuna Haja ya kushangaliaingekuwa 50% bado tozo kubwa jaman! yaann badala ya elf kumi imekuwa 7 bora ingekuwa 4
Bunge ni uongo uongo tu, leo ndugai anasema Yesu alitembea na mkewe.....wizi mtupu
Mimi nilishtuka....sijui Jamaa anasali Kanisa gani.Bunge ni uongo uongo tu, leo ndugai anasema Yesu alitembea na mkewe.....wizi mtupu
Ni MUNGU tu anataka kutonyesha unafiki na uongo waoMimi nilishtuka....sijui Jamaa anasali Kanisa gani.
Economics havae!Mimi tusitafutane pesa yangu natuma kwenye basi kwenda upareni kwa mama,tena kirahisi sana leo nimetuma asubuhi saa saba mama kashapata ,vichenchi vinavyobaki akiba benk ya makabwela ,kama baba yako na mama ni wapare ,unapozaliwa tu una bachelor of economic
Ni MUNGU tu anataka kutonyesha unafiki na uongo wao