Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
 
Mimi tusitafutane pesa yangu natuma kwenye basi kwenda upareni kwa mama,tena kirahisi sana leo nimetuma asubuhi saa saba mama kashapata ,vichenchi vinavyobaki akiba benk ya makabwela ,kama baba yako na mama ni wapare ,unapozaliwa tu una bachelor of economic
 
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Agosti 31, 2021 ametia saini mabadiliko ya tozo za miamala ambapo serikali imepunguza 30% na makampuni ya simu Kupunguza 10% kutoka kwenye gharama za awali za ufanyaji wa miamala.
Unatengeneza tatizo unapiga kadhaa kisha unalitatua kwa kupunguza kidoogo halafu unapongezwa

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Serikali chini ya CCM ni wajinga sana, yaani wametengeneza tatizo kisha wanalitatua ili ionekane serikali chini ya mama Samia ni sikivu, wajinga ndio waliwao wasifikiri watanzania ni wajinga kiasi hicho…
Mataga: Tozo ilipwe serikali ya ccm oyeeee!

Mataga again: Serikali imepunguza tozo, hii ni serikali sikivu.

Mpaka hapo ndio utakua sukuma gang ni watu wa aina gani.
 
"Create opportunities where there is chaos"

Ccm na wabunge wake wamefanga vyote viwili kwa wakati mmoja
 
Hakuna mkate ngumu mbele ya chai.

Hakika mitandao imekuwa ni sauti ya wananchi na si hili Bunge.

Waliohamia Burundi-kama wapo- Waziri awaombe warudi.
Kweli unaitendea salary slip yako haki, kwani siku zote uko front.
 
Mi nilishatoka huko, nashukuru mungu watu ninaodili nao wote wapo katibu na matawi ya bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…