Hela iliopunguzwa mtailipia sheli😅 unabanwa na plies sikioni wakiachilia wanaenda kubana kidole
 
Call it whatever ila hio ndio namna tozo inafanya kazi
 
Wapunguze matumizi kama kununua mashangingi, kulipana posho za kukaa pale Mjengoni na anasa nyingine nyingi.
sahihi kabisa.
lazima Serikali ipunguze gharama/matumizi yasiyo ya lazima.
kuna maeneo matumizi ni makubwa sana!
manunuzi ya Magari, posho n.k
 
Umeishiwa umeme,umeishiwa salio.Huna Salio huwezi nunua Salio toka account yako ya bank.
Wachawi acheni roho mbaya za kuwaroga walio na faida kwenye Jamii.
Hata tozo nanyi ni waathirika
Sio kila mtandao mpaka uwe na salio ndio uingie menu ya benki mfano airtel
 
Mbona tayari wamesha tangaza mafuta yatapanda bei kuanzia kesho.
Hawa wapuuzi ni hovyo kabisa.
Unajua sababu ya mafuta kupanda bei?

1. Bei ya mafuta tunaponunua imeongezeka
2. Hivyo bei ya usafirishaji wa mafuta kuleta bandarini imeongezeka kwani meli zimeongeza gharama za usafirishaji
 
Nimeandika mara10 nikafuta,..

Nilikuwa nimewatukana bonge la tusi.
Usitukane fuatilia bei duniani ni kiasi gani sasa hivi na usafirishaji bei imeongezeka hivyo bei inapanda automatically
 
Sio wapunguze tu, WAZIONDOE!. Wamekosa vyanzo vyote vya mapato kweli?
 
MAMBO MATATU ALIYOYAFANYA RAIS SAMIA KWENYE TOZO ZA E-MONEY,
___________________________


1. Kupunguza tozo za miamala ( e-money) kwa 30%

2. Kushawishi makampuni ya e-money na wao kushusha makato yao kwa 10%,

3. Kuendelea kuwa msikivu kwa kushughulikia kero za wananchi kwa haraka,

NB, Hili punguzo linamaana gani ?!

Katika kila shilingi tuliyokatwa awali ni senti 60 tu ndio itachukuliwa na mwanachi Mama amemrudishia|amembakishia senti 40 katika kila muamala anaofanya,

Kama awali ulikatwa Tshs 10,000 Leo utakatwa Tshs 6,000 tu huku Tshs 4,000 Mama akiirudisha|akiibakisha kwako.


...Kazi iendelee | Mama ni habari nyingine ...
 
Nimeona kwe taarifa ya habari ya ITV kwamba waziri wa fedha ameidhinisha rasmi punguzo la tozo kwa 30%.

Bado punguzo hili halitoshi kwa tozo hizi zinazoumiza watanzania. Nilitegemea zipunguzwe kwa 90% au zaidi ili zihimilike.
hawa watu kwanza wangekuwa na nia njema na wananchi wangepunguza matumizi ya serikali ambayo ni makubwa kupita kiasi
 
Kero hii haikuwepo ameileta mwenyewe na amekataa kuiondoa

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…