Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Thubutu uone motoHuna unalojua, subirini tu muda wenu utafika kuni ziwawakie....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu uone motoHuna unalojua, subirini tu muda wenu utafika kuni ziwawakie....
Na lile limama litayang'ong'aYatakuja na masuti yao kusema "serikali ya fulani fulani ni sikivu,imeona tuwapunguzie wananchi huu mzigo" wakati wao wenyewe Ndo waliouleta huo mzigo in the first place[emoji38]
Nimetoka sasa hivi kwa wakala nikiwa na azma ya kutuma pesa, nimemuuliza miamala mipya tayari? Kanijibu bado. Nimeghairi kutuma pesa.
Baada ya siku Saba(7)Nimetoka sasa hivi kwa wakala nikiwa na azma ya kutuma pesa, nimemuuliza miamala mipya tayari? Kanijibu bado. Nimeghairi kutuma pesa.
Huo bado ni wizi wa mchana kweupe. Huwezi kulipa kodi mara mbili, hivi hii Serikali haioni aibu! Mfanyakazi anapotuma pesa kwa ndugu au rafiki anakuwa ameshalipa pay as you earn.Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesaini marekebisho ya Kanuni za Tozo za Miamala ya kutuma na kutoa Fedha na kupunguza viwango vya tozo kwa 30%
Pia Serikali imejadiliana na watoa huduma za simu ambao nao wameridhia kupunguza viwango vya tozo wanazotoza kati ya mtandao na mtandao mwingine kwa 10%
Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi Septemba 01, 2021
Taarifa Kamili:
Wacha hizo! Changieni maendeleo yenu! Katuua NINI!? Unadhani hao Wajapani au Waingereza au Wamarekani au Wachina wanao tuletea huku misaada, hizo pesa wanatoa wapi, kama SI KWENYE KODI WALIPAZO KAMA HIZI!? Unadhani wana zitungua MITINI?!Mmmh alitegundua tozo katuua watanzania