Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Foleni ndani ya benkiBye bye sim banking
Waendelee kuimba tu mama huyooo mamaa 🙌Safi sana!
Wale wataalamu wa chuma ulete na bukula ndiyo wapo salama sasa. miamala yao haipiti TCRA. Tena wanaweza kumpiga hata mama na meneja wa TRA.Habari wakuu,
Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.
Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbili mbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.
View attachment 1926880
Wakiona hamtumi pesa watahamia kwenye deposit na ATMs!Hatuhamishi pesa ng'ooo, tutakua tunaenda kufanya deposit bank au tunaandika cheque
Na bado, mama ni misele tu, magogoni to Rwanda and back, wapi sijuwi ni ndege tu, hakuna cho dom wala shida za wananchi, bata za kitalii zikiambatana na usalama wa kufa mtu, ndiyo, fedhq ipo, tutakamuliwa mpaka tufe, kisingizio uzalendo, yeye hayamuhusu, tozo kwa kwenda mbele, stock ya lipstick kama zote, tutauma meno ...Habari wakuu,
Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.
Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbili mbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.
View attachment 1926880
Rais Samia Anatarajia Kuanza Ziara Ya Kikazi Nchini MarekaniHabari wakuu,