Tozo zatinga kwenye mabenki, kuanza kukusanywa Septemba 8, 2021

Waweke na withholding tozo/levy ya laini za simu mtu mmoja anahold laini zaidi ya moja. Fedha itakayokusanywa ijengee malambo na majosho ya mifugo nchi nzima. Iwe tozo, tozo, tozo kila mahali na tozo tena. Hadi ccm wote wanuke harufu ya tozo huku mitaani wakipita tunaziba pua zetu kwa kichefuchefu.
 
Tunatengeneza tatizo na tutalitatua tatizo tupande chart kisiasa

Haya aisee, naona mpira unazidi kupigwa mwingi

Sisi wanyonge nani atusemee kilio chetu?
 
Kodi ya kichwa yanafuu, walau wachangia mara moja kwa mwezi.

Haya matozo kila wapotuma au tumiwa imooo.

Watawala wamekosa maarifa, hii yote kubugia mamiradi makubwa makubwa pasipo uwezo wa kiuchumi kuhimili.

Wanaharibu uwezo na imani ya watu kutumia/kutumiwa fedha. Serikali kukusanya mapesa yote na kutumia kwenye miradi mfu inaenda angusha uchumi
 
Habari wakuu,
Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.

Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbili mbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.

View attachment 1926880
Wale wataalamu wa chuma ulete na bukula ndiyo wapo salama sasa. miamala yao haipiti TCRA. Tena wanaweza kumpiga hata mama na meneja wa TRA.
 
Tulipe kodi..kwa maendeleo ya Taifa letu..

Dada zetu wa Corner bar, Mwananyamala, Uwanja wa Fisi, Sudan, Kigamboni na kwingineko nchini biashara yao iongezwe thamani waanze kulipa kodi..
 
Dstv wamenipigia na kuniambia gharama za vifurushi vinapanda kifurushi kitakapousha na kutaka kurecharge....
Niliwahi kusema miaka mingi iliyopita kuwa CCM wanafanana and this mama is no exception.
 
Habari wakuu,
Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.

Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbili mbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.

View attachment 1926880
Na bado, mama ni misele tu, magogoni to Rwanda and back, wapi sijuwi ni ndege tu, hakuna cho dom wala shida za wananchi, bata za kitalii zikiambatana na usalama wa kufa mtu, ndiyo, fedhq ipo, tutakamuliwa mpaka tufe, kisingizio uzalendo, yeye hayamuhusu, tozo kwa kwenda mbele, stock ya lipstick kama zote, tutauma meno ...
 
Habari wakuu,
Miamala yote ya fedha ya kibenki itayofanyika kupitia simu itaanza kukatwa tozo. Mathalan unataka kuhamisha fedha kutoka kwa Helena mwenye akaunti namba XX kwenda Huruma mwenye Account namba XY na ukatumia simu kufanya mchakato huo utawajibika kuichangia Serikali katika ujenzi wa madarasa, zahanati na mengineyo waliyoyasema.

Kwanini Serikali wasingetumia pesa za kununulia ndege zisizozalisha na gharama za kufanya royal tour kufanya yote wanayotaka kufanya. Ni muda wa kufikiria kupunguza matumizi badala ya kututoza kodi mara mbili mbili kuongeza mapato kufanya matumizi yasiyo na kipaumbele au umuhimu.

View attachment 1926880
Rais Samia Anatarajia Kuanza Ziara Ya Kikazi Nchini Marekani
 
Back
Top Bottom